Kwenye madai ya katiba mpya kiongozi wa ilo jambo anaejulikana kwasasa ni Mbowe tu,Lisu anakula maisha huko Ulaya na stori zake zilezile kilasiku.
Anaweza kuwa Kunguru kama unavyomuita, ila soku ikijakutokea tukawa na Rais au Katiba imara na haya mambo yakafumuliwa Upya tutakuja kujionea mengi sana tusiyoyajua...Tundu ni kunguru,hafugiki
Yaani huyu poyoyo anabwabwaja kama vile anapigwa risasi Kila siku.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
hapo nd
hapo ndio unanichanganya sasa, umeona aliowataja kuhusika kwenye jaribio la kumtoa roho na MUNGU akasimama?!?! ndio haohao atakaopewa wamlinde kama ndio anamaanisha hivyo, then WHAT NEXT?!?
Yaani jamaa anataka akaribishwe Tanzania! Kuna aliyemfukuza shujaa huyu? Wakati wa kampeni nani alimkaribisha? SHiiiit!Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.
Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.
Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.
Kama ni Uongo ebu weka ukweli hapa ni nani aliempiga Lissu risasi ili tuone kama ana tafuta hela za AmsterdamMlelewa Ubelgiji anatafuta kila mbinu ili aendelee kupewa hela na Amsterdam
hapo nd
hapo ndio unanichanganya sasa, umeona aliowataja kuhusika kwenye jaribio la kumtoa roho na MUNGU akasimama?!?! ndio haohao atakaopewa wamlinde kama ndio anamaanisha hivyo, then WHAT NEXT?!?
Alafu unaweza hisi tangia apigwe risasi akuwai kurudi Tanzania,kumbe alirudi na akatembea nchi nzima kufanya kampeni tena huku akuchimba mikwara.
Kama wahuni waliweza kuingia maeneo yale aliopigiwa basi nchi ilioza sana kipindi kile.Hili na mimi ndio nilikua nataka kulisema haya yote anazuga tu pesa ya ukimbizi ya bure keshaiona tamu kuliko kurudi bongo. Asiwasingizie watu ubaya kikosi cha kujumuisha TISS, JWTZ na polisi kingemtaka kisingetumia risasi 36 na atoke mzima. Hao jamaa wa kazi risasi mbili tu angekua sasa hivi jina lake linatanguliwa na marehemu. waliompiga risasi hawajui anabahatisha ila watakua ni wahuni tu waliotaka kuivuruga nchi. Lisu anatafuta scapegoat ya kutorudi bongo mjanja sana huyu wakili msomiππππ[emoji23][emoji23][emoji23]
i expected thatSelf centered usije kuwa wewe mwenye kudogosha jaribio la mtu to near death
Atafute huo uhakika kwa Mungu aliye muokoa mara ya kwanza. Huyu TL anamjua Mungu kweli na ni dini gani? Pamoja na ule muujiza Mkuu ulioponya maisha yake bado anatafuta uhakika wa uhai na usalama wake kwa wanadamu? Labda nina wasiwasi jamaa ni muunini wa dini ya stanisim
Huyu bwana ni mlalamikaji wa kiwango cha PHD. Kama Rais kafunga safari mpaka Belgium na akataka waonane, ni lazima nia yake iwe ni njema.
Akumbuke kuwa rais ni taasisi yenye watu wengi nyuma wenye majukumu mbalimbali. Hivyo aondoe wasiwasi aliokuwa nao.
Kufariki kwa JPM kumaifanya taasisi ya urais iwe na mabadiliko makubwa. Aondoe shaka.
Wajumbe wa kipilimba kwa comments zao hawajifichi
Ohooo! kusha kucha huku
Lakini mbona hao hao TISS ndo walimpa ulinzi kipindi cha uchaguzi
Au ndo yale mambo ya mchawi mpe mwana akulelee
Kurudi
i expected that
Ngumu kuelewa
Sasa ilikuwaje akaondoka kwa Escort ya mabalozi?Alafu unaweza hisi tangia apigwe risasi akuwai kurudi Tanzania,kumbe alirudi na akatembea nchi nzima kufanya kampeni tena huku akuchimba mikwara.
Unafikiri wote Wana akili kama zenu nyie akina lissu kulelewa na wanaume wenzenu?Huku wewe unaposti utopolo umekalia kitu kigumu kilichonyooka chenye ncha butu laini ukipakatwa na kupapaswa.
Nyau ww!
Hata kwenye cage hafugiki??ππTundu ni kunguru,hafugiki
Mfumo uliopo sasa auwezi kufanyika unalosema.Anatakiwa arudie hizi story kila siku mpaka hatua zichukuliwe.
Unafikiri wote Wana akili kama zenu nyie akina lissu kulelewa na wanaume wenzenu?
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app