Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

hapo nd

hapo ndio unanichanganya sasa, umeona aliowataja kuhusika kwenye jaribio la kumtoa roho na MUNGU akasimama?!?! ndio haohao atakaopewa wamlinde kama ndio anamaanisha hivyo, then WHAT NEXT?!?

Amewataja hao jamaa ili wasije wakapewa kazi ya kumlinda.
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

Yaani jamaa anataka akaribishwe Tanzania! Kuna aliyemfukuza shujaa huyu? Wakati wa kampeni nani alimkaribisha? SHiiiit!
 
hapo nd

hapo ndio unanichanganya sasa, umeona aliowataja kuhusika kwenye jaribio la kumtoa roho na MUNGU akasimama?!?! ndio haohao atakaopewa wamlinde kama ndio anamaanisha hivyo, then WHAT NEXT?!?

Kwani wewe ndiyo unaotoa au kuidhinisha watu wa kutoa ulinzi? Kama sivyo unachosema huoni ni kuingilia mamlaka, uwezo na hata utendaji wa Mama kama rais wa nchi?

Ya utendaji wa Mama Samia kama rais yanawahusu nini nyie?
 
Alafu unaweza hisi tangia apigwe risasi akuwai kurudi Tanzania,kumbe alirudi na akatembea nchi nzima kufanya kampeni tena huku akuchimba mikwara.

Walishashindwa Mara ya kwanza kwa hivyo kurudia Mara ya pili ilikuwa ngumu. Maana Mambo yao yalikuwa wazi na mwisho wa siku ilibidi wenyewe wajiondoe uhai.
 
Hili na mimi ndio nilikua nataka kulisema haya yote anazuga tu pesa ya ukimbizi ya bure keshaiona tamu kuliko kurudi bongo. Asiwasingizie watu ubaya kikosi cha kujumuisha TISS, JWTZ na polisi kingemtaka kisingetumia risasi 36 na atoke mzima. Hao jamaa wa kazi risasi mbili tu angekua sasa hivi jina lake linatanguliwa na marehemu. waliompiga risasi hawajui anabahatisha ila watakua ni wahuni tu waliotaka kuivuruga nchi. Lisu anatafuta scapegoat ya kutorudi bongo mjanja sana huyu wakili msomi😀😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama wahuni waliweza kuingia maeneo yale aliopigiwa basi nchi ilioza sana kipindi kile.
 
Sasa polisi wanaolipwa kodi zetu kazi yao nini?
Kwa nini viongozi wako hawaombi ulinzi kwa Mungu badala yake wanazungukwa na vijana waliosheheni silaha kila kona?
Atafute huo uhakika kwa Mungu aliye muokoa mara ya kwanza. Huyu TL anamjua Mungu kweli na ni dini gani? Pamoja na ule muujiza Mkuu ulioponya maisha yake bado anatafuta uhakika wa uhai na usalama wake kwa wanadamu? Labda nina wasiwasi jamaa ni muunini wa dini ya stanisim
 
Huyu bwana ni mlalamikaji wa kiwango cha PHD. Kama Rais kafunga safari mpaka Belgium na akataka waonane, ni lazima nia yake iwe ni njema.

Akumbuke kuwa rais ni taasisi yenye watu wengi nyuma wenye majukumu mbalimbali. Hivyo aondoe wasiwasi aliokuwa nao.

Kufariki kwa JPM kumaifanya taasisi ya urais iwe na mabadiliko makubwa. Aondoe shaka.

Sio kwamba ana wasi wasi eti akija nchini atashambuliwa, huko yuko kazini na analipwa kuliko angekuwa huku. Pia hata mipango ya yeye kushambuliwa anaifahamu kuliko binadamu mwingine yeyote ila hataki ifahamike kuwa alifahamu kabla. Kwa vile tayari alishamshirikisha dereva wake anaogopa kuwa dereva huyo akisema ukweli wataumbuka. Ndio maana gharama kubwa zinatumika kumweka dereva ughaibuni. Mara anatibiwa kisaikolojia Nairobi. Fikiria hata Lissu alipokuja kwenye mradi wa kugombea urai hakuthubutu kuja naye. Ila kuna siku ukweli utafahamika tu na mtu mzima ataumbuka tuuu
 
Wajumbe wa kipilimba kwa comments zao hawajifichi

Mimi siwezi kuwa mjumbe wa Kapilima hata siku moja. Ila ni mjumbe wa Mungu na nina washauri tu wajue kuwa kazi zao ni za viapo vya utii kabla ya propoganda.
 
Ohooo! kusha kucha huku

Lakini mbona hao hao TISS ndo walimpa ulinzi kipindi cha uchaguzi

Au ndo yale mambo ya mchawi mpe mwana akulelee

Tiss Wakati ule walikuwa Na mission ya kupora uchaguzi Zanzibar kwa gharama yoyote Na waliuwa Na kujeruhi wengi
 
Alafu unaweza hisi tangia apigwe risasi akuwai kurudi Tanzania,kumbe alirudi na akatembea nchi nzima kufanya kampeni tena huku akuchimba mikwara.
Sasa ilikuwaje akaondoka kwa Escort ya mabalozi?
 
Back
Top Bottom