Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Mimi siwezi kuwa mjumbe wa Kapilima hata siku moja. Ila ni mjumbe wa Mungu na nina washauri tujue kuwa kazi zao ni za viapo utii kabla ya propoganda.

Kuna aliyekutambua kuwa mjumbe wa Kapilima?
 
hapo nd

hapo ndio unanichanganya sasa, umeona aliowataja kuhusika kwenye jaribio la kumtoa roho na MUNGU akasimama?!?! ndio haohao atakaopewa wamlinde kama ndio anamaanisha hivyo, then WHAT NEXT?!?

Lissu asirudi watamuua hata kwa ajali. Kwa Sasa watanzania tuna Roho ya kiuaji Sana.
 
Huyu kijana ni hasara kabisa kwa taifa na familia yake,na Kama asingezaliwa hakika mama yake angepata uvimbe tumboni ,anatapatapa Sana.

Mwanzoni aliwaaminisha wafuasi wake kuwa aliyempiga risasi ni rais Magufuli, baadae akadai ni Makonda ndo aliyempiga risasi wafuasi wake wote waliamini hivyo.

Alivyo wa ajabu Leo anatuletea habari za kapilimba,ni mpuuzi pekee anayeweza kufuatilia na kutilia maanani habari za huyu baradhuri aliyerukwa na akili.



Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 

Wote Si wanafanya kazi Na Tiss?
 
KWELI kabisa.
Ila wanachotakiwa kufanya ni kutubu dhambi ya kukubali kutumika kuwawinda na kumwaga damu ya binadamu wenzao kama vile wanyama.
Kinyume chake laana hiyo itawaandama wao na kuwaponza hata vizazi vyao.Hawataijua amani mioyoni mwao.
Na wanafikiri hawajulikani
 
Mr Lissu, wewe siyo special hadi upewe royal treatment. Wewe ni SAWa na Mtanzania mwingine yoyote mbele ya sheria. You’re not entitled to any extraordinary concessions under Tanzanian law simply because you happen to be a survimg victim of some politically motivated assassination attempt from a bygone regime. Stop playing the victim card at every opportunity! You’re just one lucky dude to be alive today out of the 400 who you claim were murdered by JPM. But that doesn’t in any way make you special.
 
Sasa polisi wanaolipwa kodi zetu kazi yao nini?
Kwa nini viongozi wako hawaombi ulinzi kwa Mungu badala yake wanazungukwa na vijana waliosheheni silaha kila kona?

Kwani Viongozi wangu wanao muujiza mkuu wa kushuhudia/wa hadharani kama TL? Muambie TL asifanye watu wote ni wajinga anaweza kupewa walinzi na wenyenia wakamaliza naye kama nia ya kumalizana naye bado iko. Dereva wake alienda akagesha gari 'target' akaingia chini ya uvungu wa gari akimucha TL ndani. Risasi tunambiwa zaidi ya 30 hakuna iliyokosea njia ikaenda uvunguni mwa gari aliko dereva. Muujiza mkubwa sana huu kwa TL na dereva wake.
 
Alipigwa risasi
Vyombo uhusika havikufanya lolote.
 

Hayo Ni maamuzi yake binafsi. Wewe utakubali kupangiwa mshahara wako na mtu Baki?
 
Mahaba yako kwa Samia yasikufanye uone alichokifanya Lissu ni kosa. Halafu sijaona Samia akitajwa hapo, maana aliyekuwa Rais wakati huo anajulikana.
So, badala ya kumwona Lissu kama mropokaji, mtazame kama mtu jasiri na asiyeogopa. Pia, upendo ni vitendo sio story za alinacha, anayekupenda angekupeni Katiba mpya mara moja, anajali madaraka yake tu.
 
Huyu naye kama akili haziko sawa vile!

Magufuli angetaka kumuondoa, angemuondoa kitaalamu kwa ugonjwa wa BP au cancer. State ina njia zilizonyooka za kuondoa watu ikitaka. Ben Saanane kwa watu wanaochunguza mambo kidole kinamwelekea Mbowe. Kambi yao wenyewe imeshatoa maelezo ambayo uki connect unajua ni Mbowe tu.

Kibiti inawezekana, lakoni it was necessary evil. Kwa stage tuliyofikia, na aina ya ugaidi uliokuwa ukiendelea unaohusisha mauaji mengi, tena ukishangiliwa na wanasiasa uchwara wa upinzani, ilihitajika mbinu ya kusimamisha mauaji once andfor all. Na kwa hili la kudhibiti magaidi wa aina hiyo Tanzania inastahili sifa sana.

Kutekwa kwa Dewji na Magu wapi na wapi? Maelezo ya aina mbili yaliyotolewa na baadhi ya wachunguzi kwangu bado yana nguvu kuhusu kutekwa Dewji; Watekaji kwa ajili ya fedha, ikumbukwe kipindi hicho wimbi la utekaji mabilionea na kudai fedha lilitokea nchi zte za kusini ikiwemo Afrika ya Kusini, Zimbabwe, Malawi nk. Lakini bado kuna wanaoamini mkono wa CHADEMA kwenye utekaji ili kuchafua nchi. Utekaji kama wa Dewji na Roma mkatoliki unaeldweka zaidi na maelezo ya kuchafua nchi kuliko eti walikuwa tishio kwa Magufuli!
 
Si aambiwe n Utawala kuwa tunakuhakikishia usalama wako au vipi?
 

Roho inakuuma kwanini Lissu yupo hai pamoja na risasi zote zile. Halafu kubwa la maadui ndio akafa. Hujiulizi Lissu akiwa nje ya nchi alikuwa na taarifa zote za Hali ya mwendazake. Kwanini leo hushuku taarifa yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…