Mimi siwezi kuwa mjumbe wa Kapilima hata siku moja. Ila ni mjumbe wa Mungu na nina washauri tujue kuwa kazi zao ni za viapo utii kabla ya propoganda.
Kuna aliyekutambua kuwa mjumbe wa Kapilima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siwezi kuwa mjumbe wa Kapilima hata siku moja. Ila ni mjumbe wa Mungu na nina washauri tujue kuwa kazi zao ni za viapo utii kabla ya propoganda.
hapo nd
hapo ndio unanichanganya sasa, umeona aliowataja kuhusika kwenye jaribio la kumtoa roho na MUNGU akasimama?!?! ndio haohao atakaopewa wamlinde kama ndio anamaanisha hivyo, then WHAT NEXT?!?
Huyu kijana ni hasara kabisa kwa taifa na familia yake,na Kama asingezaliwa hakika mama yake angepata uvimbe tumboni ,anatapatapa Sana.
Mwanzoni aliwaaminisha wafuasi wake kuwa aliyempiga risasi ni rais Magufuli, baadae akadai ni Makonda ndo aliyempiga risasi wafuasi wake wote waliamini hivyo.
Alivyo wa ajabu Leo anatuletea habari za kapilimba,ni mpuuzi pekee anayeweza kufuatilia na kutilia maanani habari za huyu baradhuri aliyerukwa na akili.
Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Mkuu nakupongeza kwa kulitambua hilo, maana ñilikuwa natafakari mbona misimamo ya wachangiaji karibu wote ni ya kumuumiza mhanga wa tukio ambaye anaiomba Serikali kumtendea HALO?Naona wazee wa kikosi Kazi wamejitokeza kwa Kasi sana kujitetea.
90% ni waliohusika kwa mbowe kutoa ushahidi upande wa jamhuri + aliyenyanganywa gorofa na anayetumikia 30 bila kusahau jamaa wa mtwaraMwenye orodha ya kikosi kazi aweke humu
Na wanafikiri hawajulikaniKWELI kabisa.
Ila wanachotakiwa kufanya ni kutubu dhambi ya kukubali kutumika kuwawinda na kumwaga damu ya binadamu wenzao kama vile wanyama.
Kinyume chake laana hiyo itawaandama wao na kuwaponza hata vizazi vyao.Hawataijua amani mioyoni mwao.
Sasa polisi wanaolipwa kodi zetu kazi yao nini?
Kwa nini viongozi wako hawaombi ulinzi kwa Mungu badala yake wanazungukwa na vijana waliosheheni silaha kila kona?
Alipigwa risasiHajaweka wazi nini haswa hoja yake. Ni kama mtu mwenye wasiwasi usiokwisha kwa vigezo vya mwanzoni mwa maongezi haya.
Inaweza kuwa ni muendelezo wa siasa za mitandaoni, hataki kutoka midomoni mwa watu kirahisi hivyo inambidi aongee hata kama anachokiongea ukikipima hakina undani sana.
Tundu Lissu kama ni muadilifu aseme fedha za stahiki zake ni shiklingi ngapi? Na je akilipwa atazipekekwa kwenye charity gani? Walitangazia ulimwengu wote wako watu walifanya charity kumeet gharama zake baada ya serikali kuzuia hizo stahiki zake. Analazimika jwa uungwana tu hizo stahiki zake anazo idai serikali kuzirudisha jwwnye charity.
Lissu huwa anaongea anachoona kwake ni sahihi....
Na hakuna ulazima kiwe sahihi kwa wote pia
Mahaba yako kwa Samia yasikufanye uone alichokifanya Lissu ni kosa. Halafu sijaona Samia akitajwa hapo, maana aliyekuwa Rais wakati huo anajulikana.Huyu ni kichaa ni aina ya watu wauai na wapumbavu kila kitu anaua. Kusoma sheria kwa upumbavu wake anajua kuwa mawazo yake niyako sahihi. Wahenga husema mpumbavu hata kama utamtwanga kwenye kinu na baadae ukamrudisha akawa mtu hai bado upumbavu wake hautatoka. Mama Samia ameoenesha upendo mkubwa badala ya kumpa mda afanyie kazi maombi yake anaongea ongea tu ujinga.
Wewe punda kuna jina la bashite kwenye maelezo ya lisu?wewe mjusi ,kwani wapi wamesema Bashite hahusiki?
Si aambiwe n Utawala kuwa tunakuhakikishia usalama wako au vipi?Mr Lissu, wewe siyo special hadi upewe royal treatment. Wewe ni SAWa na Mtanazsnia yoyote mbele ya sheria. You’re not entitled to any extraordinary concessions under Tanzanian law simply because you happen to be a survimg victim of some politically motivated assassination attempt from a bygone regime. Stop playing the victim card at every opportunity! You’re just one lucky dude to be alive today out of the 400 who you claim were murdered by JPM. But that doesn’t in any way make you special.
Kunguru hatufugukiHata kwenye cage hafugiki??[emoji23][emoji23]
Hili na mimi ndio nilikua nataka kulisema haya yote anazuga tu pesa ya ukimbizi ya bure keshaiona tamu kuliko kurudi bongo. Asiwasingizie watu ubaya kikosi cha kujumuisha TISS, JWTZ na polisi kingemtaka kisingetumia risasi 36 na atoke mzima. Hao jamaa wa kazi risasi mbili tu angekua sasa hivi jina lake linatanguliwa na marehemu. waliompiga risasi hawajui anabahatisha ila watakua ni wahuni tu waliotaka kuivuruga nchi. Lisu anatafuta scapegoat ya kutorudi bongo mjanja sana huyu wakili msomi😀😀😀😀😂😂😂
Mfumo uliopo sasa auwezi kufanyika unalosema.