Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Hili na mimi ndio nilikua nataka kulisema haya yote anazuga tu pesa ya ukimbizi ya bure keshaiona tamu kuliko kurudi bongo. Asiwasingizie watu ubaya kikosi cha kujumuisha TISS, JWTZ na polisi kingemtaka kisingetumia risasi 36 na atoke mzima. Hao jamaa wa kazi risasi mbili tu angekua sasa hivi jina lake linatanguliwa na marehemu. waliompiga risasi hawajui anabahatisha ila watakua ni wahuni tu waliotaka kuivuruga nchi. Lisu anatafuta scapegoat ya kutorudi bongo mjanja sana huyu wakili msomi😀😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe hata akili huna,hivi kwa Nchi yenye watu wenye akili timamu wanashindwaje kufanya upelekezi na hatimae kuwakamata wote waliohusika na huu uhuni?Chukulia ndugu yako ndo kafanyiwa huu uhuni je ungekaa kimya?Acheni ushabiki kwenye vitu vya maana kuhusu uhai wa binadamu wenzetu.
 
Mama achana na huyu domo asikusumbue akili hajawahi kwenda kuwapa ushirikiano polisi kuhusu tuhuma anazotoa na aligoma dereva wake asiende polisi kutoa taarifa hatujui wanazurura wote huko aliko.
Huyu ni kichaa ni aina ya watu wauai na wapumbavu kila kitu anaua. Kusoma sheria kwa upumbavu wake anajua kuwa mawazo yake niyako sahihi. Wahenga husema mpumbavu hata kama utamtwanga kwenye kinu na baadae ukamrudisha akawa mtu hai bado upumbavu wake hautatoka. Mama Samia ameoenesha upendo mkubwa badala ya kumpa mda afanyie kazi maombi yake anaongea ongea tu ujinga.
 
Kwa hali hii kumwambia mama achunguze kesi ni kumuingiza kwenye mkenge wa kujimaliza wenyewe.
 
Huyu bwana ni mlalamikaji wa kiwango cha PHD. Kama Rais kafunga safari mpaka Belgium na akataka waonane, ni lazima nia yake iwe ni njema.

Akumbuke kuwa rais ni taasisi yenye watu wengi nyuma wenye majukumu mbalimbali. Hivyo aondoe wasiwasi aliokuwa nao.

Kufariki kwa JPM kumaifanya taasisi ya urais iwe na mabadiliko makubwa. Aondoe shaka.

Kama Rais yupo na uchunguzi haujafanyika, je ana uhakika gani Rais anamvuta ili arudi Tanzania au wawe vizuri?. CCM Ni zaidi ya unavyoifikiria. Tangu Waziri Mkuu aseme uongo kuhusu Magufuri siiamini CCM daima.
 
n

ndio maana nikauliza anaomba usalama upi?!? alindwe na jeshi lenye silaha 24/7?!? au tamko tu la Mhe.Rais?!?

Anaomba kuhakikishiwa usalama na hilo maneno na vitendo huambatana.

Au siyo hivyo ndugu mjumbe?
 
Mjinga huyu kwani hajui maana ya dola. Wanaoletea nchi hatari ya kupotea amani kama wale magaidi kibiti alifikiri wanashughulikiwa na kitu gani kama sio kikosi maaluum? Aliona wapi adui wa vita akiletwa mahakamani kama sio kumalizwa. Anafikiri nchi hii amani na usalama upo kwa siasa za kiliberali wanazojaribu kutulisha kwa niaba ya mabeberu wa magharibi?
Anatengeneza mazingira ya kuwaaminisha kuwa watu hatari waliokuwa wanahatarisha usalama pale Rufiji walikuwa ni watu wema na vyombo vyetu wa usalama viliwashughulikia kwa uonevu. Na ikumbukwe kibiti ilianza tu mara baada ya Magufuli kuingia madarakani ili nchi isitawalike.
 
Huyu ni kichaa ni aina ya watu wauai na wapumbavu kila kitu anaua. Kusoma sheria kwa upumbavu wake anajua kuwa mawazo yake niyako sahihi. Wahenga husema mpumbavu hata kama utamtwanga kwenye kinu na baadae ukamrudisha akawa mtu hai bado upumbavu wake hautatoka. Mama Samia ameoenesha upendo mkubwa badala ya kumpa mda afanyie kazi maombi yake anaongea ongea tu ujinga.

Tatizo mnajifanya nyie ndio wenye haki wakati hakuna lolote. Unamwita mtu mpumbavu kisa anajielezea kuhusu usalama wake? Wewe Kama unaona mtu anaongelea usalama wake muache. CCM isikufanye ukajiona malaika na kuwadharau wengine Kama hawana haki ya kuelezea maswahibu yao.

Kama Rais wenu anao upendo kwanini asinge mshurutisha IGP aanze upelelezi wa kesi ya Lissu? Mbona Mbowe kesi yake ya mchongo ilipelekwa haraka mahakamani na mashahidi juu, lakini ya Lissu imekuwa kimya.
 
Huyu bwana ni mlalamikaji wa kiwango cha PHD. Kama Rais kafunga safari mpaka Belgium na akataka waonane, ni lazima nia yake iwe ni njema.

Akumbuke kuwa rais ni taasisi yenye watu wengi nyuma wenye majukumu mbalimbali. Hivyo aondoe wasiwasi aliokuwa nao.

Kufariki kwa JPM kumaifanya taasisi ya urais iwe na mabadiliko makubwa. Aondoe shaka.
Sawa usemacho, lakini yeye amewataja waliotaka kumuua ili hatua dhidi yao ichukuliwe. Inatakiwa na waliopotea kama kina BenSaa8, Azory nk wafahamike walipo wakiwa hai au wamekufa.
 
Kwa hiyo anavyosema anaomba kuhakikishiwa ulinzi atalindwa na askari gani wakati majesho yote anayatuhumu kumdhuru?😶

Hii sasa si ndiyo ile bhooooooo bhooooooo bhooooooo bhooooooo .. bhooooooo anayoisema Mama Samia?
 
hapo nd
Anaomba kuhakikishiwa usalama na hilo maneno na vitendo huambatana.

Au siyo hivyo ndugu mjumbe?
hapo ndio unanichanganya sasa, umeona aliowataja kuhusika kwenye jaribio la kumtoa roho na MUNGU akasimama?!?! ndio haohao atakaopewa wamlinde kama ndio anamaanisha hivyo, then WHAT NEXT?!?
 
Hana jipya,ameona upepo umembeba Mbowe anapambana na yeye asisahaulike.

Hata kipindi anawaeleza kuhusu Hali ya Magufuri mlimbeza hivyo hivyo. Mwishoni mkaanza kujiliza kinafiki kana kwamba hamkuambiwa kuwa kashafariki.
 
Kwenye madai ya katiba mpya kiongozi wa ilo jambo anaejulikana kwasasa ni Mbowe tu,Lisu anakula maisha huko Ulaya na stori zake zilezile kilasiku.

Kwani kuna mashindano ya nani ni nani kwenye katiba mpya? Mbona hata Mukandara, Zitto, Pole pole au hata wewe ungekuwa na uzalendo tungemwuunga mkono tu?
 
Back
Top Bottom