Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Sasa kama hakuna Mbongo wa kuaminika kwanini akuamini wewe ukisema Lissu anaubalika kuwa Mwenyekiti wa Chadema? Ahahahahaha!!We unawaamini? Kuna mbongo wa kuaminika leo hii? Keupe kekundu kaa chonjo saa mbaya atiš
Ukishakuwa mtoto wa shule, akili mara nyingi uwa zinakuwa makalio-ni.Huyu ndio Tundu Lissu hawaamini hata watu anaotaka kuwaongoza! Ahahahahaha!!!
Polisi hawajashindwa kazi. Vuta subira. Usiwapuuze.Tulishawaambia aliyetaka kumuua alikuwa ni mbowe na lengo lilikuwa kuondoa ushindani. Sasa unaona mnaanza eti kumnanga lisu wenu. š
Kumbe wewe wakati unasoma akili zako zilikuwa huko? Hapo singai kwanini wewe ni sh.....a!!! Ahahahahaha!!Ukishakuwa mtoto wa shule, akili mara nyingi uwa zinakuwa makalio-ni.
Ni sawa hata chadema haiwaamini hata wanachama wao kwenye uchaguzi mkuuHuyu ndio Tundu Lissu hawaamini hata watu anaotaka kuwaongoza! Ahahahahaha!!!
Hata chadema kila siku huwa wanalalamika bila ushahidiMbona lisu anapenda sana kulalamika lete ushaidi hana inakuwaje au ndiyo anatakakuvuruga uchaguzi maana.
Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa
"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.
Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura, watakapogundua kwamba mambo ya upande wao hayako sawa na mhusika amenidokeza kwamba, vyovyote itakavyokuwa, tuhakikishe uchaguzi unafanyika wakati wa mchana na ameonya uchaguzi usifanyike usiku kwa sababu kuna possibility ya wenzetu kuzima taa zote ili kufanikisha utoroshaji wa kura ama kuingiza ndani kura feki.
Tafadhari hizi tumezipokea; lakini Katibu Mkuu wa Chama anapaswa kutoa ufafanuzi kuhusu huu mchakato wa uchaguzi utakavyokuwa ili kuhakikisha unakuwa huru na wa haki".
Mkuu kwani wanaongoza serikali ya sasa ni malaika, mbona unadharau watu wengi namna hii.Uchaguzi ukiwa huru na wa hakiļ¼mtu anakwenda kumchinja sultani mchana kweupe huku anajiangaliaļ¼ļ¼ October 2025 ni unasukuma tuu kama kumsukuma mleviļ¼tatizo ni the ability and capability kuendesha serikaliļ¼Chadema hii uwezo huo hainaļ¼
P
P,Uchaguzi ukiwa huru na wa hakiļ¼mtu anakwenda kumchinja sultani mchana kweupe huku anajiangaliaļ¼ļ¼ October 2025 ni unasukuma tuu kama kumsukuma mleviļ¼tatizo ni the ability and capability kuendesha serikaliļ¼Chadema hii uwezo huo hainaļ¼
P
Taratibu tu, hata walio kuwa gizani wataanza kuiona nuru.Uchaguzi ukiwa huru na wa hakiļ¼mtu anakwenda kumchinja sultani mchana kweupe huku anajiangaliaļ¼ļ¼ October 2025 ni unasukuma tuu kama kumsukuma mleviļ¼tatizo ni the ability and capability kuendesha serikaliļ¼Chadema hii uwezo huo hainaļ¼
P
Hapo ndipo tutakapojua kumbe CDM na CCM ni kulwa na doto 𤣠𤣠𤣠Ngoja tusubiri.Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa
"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.
Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura, watakapogundua kwamba mambo ya upande wao hayako sawa na mhusika amenidokeza kwamba, vyovyote itakavyokuwa, tuhakikishe uchaguzi unafanyika wakati wa mchana na ameonya uchaguzi usifanyike usiku kwa sababu kuna possibility ya wenzetu kuzima taa zote ili kufanikisha utoroshaji wa kura ama kuingiza ndani kura feki.
Tafadhari hizi tumezipokea; lakini Katibu Mkuu wa Chama anapaswa kutoa ufafanuzi kuhusu huu mchakato wa uchaguzi utakavyokuwa ili kuhakikisha unakuwa huru na wa haki".
Sikiliza press yake, kwa nafasi yake ni mjumbe wa maisha wa baraza kuu la CDM hata akishindwa nafasi ya uenyekiti kwa katiba ya CDM.Hivi mbowe akishindwa atakuwa na kazi gani tena ya kufanya chadema badala ya kwenda kulea wajukuu!
Ila hatokuwa na nafasi ya kucheza na ruzuku hapo hasa ndo panampa pressureSikiliza press yake, kwa nafasi yake ni mjumbe wa maisha wa baraza kuu la CDM hata akishindwa nafasi ya uenyekiti kwa katiba ya CDM.
Haya mambo ndio yanayonifanya nisimkubali. Conspiracy theories na fear mongering. Kwangu mimi hapa anafuata playbook ya Trump ya ku sow doubts kuhusu uchaguzi. Ndio maana nimesema bora ashinde amasivyo patatokea fujo na mpasuko katika chama utakuwa mkubwa. Angeweza kudai taratibu za uchaguzi ziwekwe wazi mapema bila ku insinuate kuwa Mbowe na wenzake wataleta fujo. Tukumbuke kuwa Mnyika ametoa angalizo kuwa kuna watu wenye nia mbaya wanaweza kujaribu kuvuruga uchaguzi. Lissu badala ya kuhakikisha pesa za 'Abdul' hazipenyi anabakia kushambulia yule anaeamini ni ' the enemy within'! Playbook ya Trump kabisa.Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa
"Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi.
Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura, watakapogundua kwamba mambo ya upande wao hayako sawa na mhusika amenidokeza kwamba, vyovyote itakavyokuwa, tuhakikishe uchaguzi unafanyika wakati wa mchana na ameonya uchaguzi usifanyike usiku kwa sababu kuna possibility ya wenzetu kuzima taa zote ili kufanikisha utoroshaji wa kura ama kuingiza ndani kura feki.
Tafadhari hizi tumezipokea; lakini Katibu Mkuu wa Chama anapaswa kutoa ufafanuzi kuhusu huu mchakato wa uchaguzi utakavyokuwa ili kuhakikisha unakuwa huru na wa haki".
Hahaha very sarcastic, wazungu wanasema I like your sense of humor.Uchaguzi ukiwa huru na wa hakiļ¼mtu anakwenda kumchinja sultani mchana kweupe huku anajiangaliaļ¼ļ¼ October 2025 ni unasukuma tuu kama kumsukuma mleviļ¼tatizo ni the ability and capability kuendesha serikaliļ¼Chadema hii uwezo huo hainaļ¼
P