Sasa mbona hawakuimuita kwa Simu bali walimuita kwa PRESS CONFERENCE sasa aende wapi KIlimanjaro au DAR? bado tu hujona kuwa mmetumia akili ndogo saana kumfanyia figisufigisu? hivi CCM hamna brains za kufanya "siasa"?Lissu anatafuta sababu ya kushindwa
kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu,maelezo utayakuta polisi,na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote
kwa sheria ipi hio ?Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Polisi wa CCM hawafanyi kazi kwa mjibu wa Sheria wao wakati wanawapiga mabomu chadema waliitwa wapi kutoa Maelezo ya unyama ule?Tundu Lissu katika Ukurasa wake wa Twitter, ameweka Barua ya Polisi na kuandika Maneno haya "Wito wa polisi sio barua ya kirafiki, ni amri ya kisheria. Wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa. Barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama. Huu sio wito wa polisi kwa mujibu wa sheria. Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi kesho."
IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro
No!Ni mambo ya aibu na ya ajabu,ni serekali ya aibu!Angalia hii barua imekuwa addressed kwa nani?Hata mtoto wa chekechea hawezi kufanya kosa kama hili!Sasa unategemea katika mazingira kama haya Lissu akuchekee?Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
NikosaDah..mbona naona barua imepigwa chapa ya "confidential " halafu imetundikwa mtandaoni.
Sababu ipi ya kushindwa? Wito wa uonevu kwa matakwa ya ccm una uhusiano gani na kushindwa?Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Ni kweli, ushahidi wa wazi ni hii barua ya polis na lile tamko la mahera..Katika nchi hii ,pamoja na mapungufu ya Lissu, tuna tatizo kubwa la kutofuata taratibu tulizoweka wenyewe.
Halafu anadai apeleki maendeleo Tunduma huku anakusanya kodi zao.Huo ni utapeli Kama hawezi peleka maendeleo pia aache kukusanya kodi!Huo huo mstari mkumbushe na jiwe kuwa wananchi wa tunduma hawastahili kufokewa wa kupangiwa mtu wa kumchagua hivyo achunge ndimi yake
Makosa hayo ya kiuandishi sio utetezi kabisa kisheria, Tundu anajua hilo na hiyo barua kupelekwa kwa Mwenyekiti wa Chama chake kwake sidhani kama ni utetezi anapaswa atambue kuwa Chama ni Cha mwenyekiti na Chama hicho ndio kimemdhamini yeye kuwa Mgombea wa Urais na hata alipofika Tume aliwasilisha barua ya Utambulisho kutoka kwa Chama ambayo Katibu wa Chama ndio alimtambulisha Tume. Hivyo Polisi kumtaarifu Mwenyekiti juu ya hilo ni sahihi kabisa kuwa mtu wako anahitajika. Na anahitajika kuhojiwa kutokana na matamshi na kauli zake alizozitoa.Barua yenyew ina dosari Polisi wetu bana π π π
View attachment 1587708
Hujuu kitu, kuitwa polisi au ofisi yoyote ya kiusalama sio lazima uwe umetenda kosa na haimaanishi kuwa umetenda kosa unachotakiwa ni kuitika wito kwakuwa umeitwa na vyombo vya usalama vya nchi yako Tena vilivyopo kisheria. Ila kama wewe ni teja mla unga unaweza kujishtukia kidogo.Heheheee.... Ukweli ni kwamba, hiyo ni sawa sawa na barua ya harusi tu!
Wito au barua ya polisi LAZIMA ieleze KOSA ANALOITIWA KWALO ikiambatana na "statement of probable cause" kuhusu kosa hilo!
Huwezi tu kuita mtu kienyeji enyeji! Angalau sio kwenye nchi tunayoiita "Jamuhuri" (sijui hata kama unaelewa maana ya Jamuhuri wewe mataga?)
Vinginevyo hiyo itakuwa ni Jamuhuri ya kihuni tu kama mapolisi watakuwa wanajiendesha kama genge la walevi.
Polisi hawako juu ya sheria. Wafuate hizo procedures waache kujidekeza!
Police hawako serious barua gani iyo hakuna ata aliyesomaga communication skills chuoni
Makosa hayo ya kiuandishi sio utetezi kabisa kisheria, Tundu anajua hilo na hiyo barua kupelekwa kwa Mwenyekiti wa Chama chake kwake sidhani kama ni utetezi anapaswa atambue kuwa Chama ni Cha mwenyekiti na Chama hicho ndio kimemdhamini yeye kuwa Mgombea wa Urais na hata alipofika Tume aliwasilisha barua ya Utambulisho kutoka kwa Chama ambayo Katibu wa Chama ndio alimtambulisha Tume. Hivyo Polisi kumtaarifu Mwenyekiti juu ya hilo ni sahihi kabisa kuwa mtu wako anahitajika. Na anahitajika kuhojiwa kutokana na matamshi na kauli zake alizozitoa.
Tundu anachofanya ni kuchelewesha tu lakini bado sheria inambana.
Aisee kama sote tungekuwa kama Lissu, Nchi hii ingekuwa mbali sana
Sheria zipi zitambamba?Hizi hizi anazovunja Magufuli na hafanyiwi lolote?Makosa hayo ya kiuandishi sio utetezi kabisa kisheria, Tundu anajua hilo na hiyo barua kupelekwa kwa Mwenyekiti wa Chama chake kwake sidhani kama ni utetezi anapaswa atambue kuwa Chama ni Cha mwenyekiti na Chama hicho ndio kimemdhamini yeye kuwa Mgombea wa Urais na hata alipofika Tume aliwasilisha barua ya Utambulisho kutoka kwa Chama ambayo Katibu wa Chama ndio alimtambulisha Tume. Hivyo Polisi kumtaarifu Mwenyekiti juu ya hilo ni sahihi kabisa kuwa mtu wako anahitajika. Na anahitajika kuhojiwa kutokana na matamshi na kauli zake alizozitoa.
Tundu anachofanya ni kuchelewesha tu lakini bado sheria inambana.
Mtu wa kuendelea na kampeni kama mbadala wa lisu? Dah! Umesoma hata sheria za uchaguzi ndugu?Isjui kilichokuwa kichwani mwa polisi katika kuandika barua hiyo kwa Mwenyeketi, ila ninadhani kuwa hawakutaka kuathri kampeini za CHADEMA wakati Lissu akiwa anahojiwa na polisi: ni uungwana tu kuhakikisha mwenyekeiti anaweka mtu wa kuendesha kampeini za Lissu wakati hayupo kwenye majukwaa.