Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Kuigomea polisi kufanya uchunguzi ni kinyume cha sheria; sasa sijui yeye ni mwanasheria gani. Wakati mwingine polisi wanaweza kutaka kukuhoji wewe kama shahidi kuhusu mtumhumiwa mwingine tofauti kabisa ambaye wanaweza kuwa na taarifa zake zaidi. Ni afadhali angejibu tu kuwa sasa hivi ratiba yake iko tight sana anaomba akutane na polisi katika muda mwingine siyo sasa kuliko kuweka jou hilo la kukaidi, kwani tayari ameshaweka ushahidi unaoweza kutumika dhidi yake; ndiyo maana nina mashaka sana na busara za Lissu pamoja na uanasheria wake. Hiyo kisheria ni kuizuia polizi kufanya kazi zake ammbalo ni kosa. Raia kuhojiwa na polisi ni sehemu ya majukukumu ya polisi kabla hawajamchukulia mtu hatua; yeye Lissu anaogopa nini kuhojiwa kama anajua yuko clean?
Wewe ni mjinga umezoea kukamatwa huko mtaani bila maelezo
Lisu Hana anachoogopa huko Polisi anataka utaratibu ufuatwe
 
Makosa hayo ya kiuandishi sio utetezi kabisa kisheria, Tundu anajua hilo na hiyo barua kupelekwa kwa Mwenyekiti wa Chama chake kwake sidhani kama ni utetezi anapaswa atambue kuwa Chama ni Cha mwenyekiti na Chama hicho ndio kimemdhamini yeye kuwa Mgombea wa Urais na hata alipofika Tume aliwasilisha barua ya Utambulisho kutoka kwa Chama ambayo Katibu wa Chama ndio alimtambulisha Tume. Hivyo Polisi kumtaarifu Mwenyekiti juu ya hilo ni sahihi kabisa kuwa mtu wako anahitajika. Na anahitajika kuhojiwa kutokana na matamshi na kauli zake alizozitoa.

Tundu anachofanya ni kuchelewesha tu lakini bado sheria inambana.

Nguruka,
Tatizo la IGP Zero na Jeshi lake ni "double standard". Hiki ndicho anachokipinga Tundu Lissu na wapenda haki popote walipo iwe Tanzania au nje ya Tanzania.

Sheria imeweka Usawa kwa Wagombea wote wa Urais wa nji hii. Haiwezekani kuwe na mgombea A awe anafanya yaleyale yanayofanywa na mgombea B lakini A anaonekana Hana kosa ila mgombea B ana makosa.....!!!

Huu ndo upuuzi ambao watu hawataki!
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
kwa kuwa wameamua kumwandikia basi lazima barua itimize matakwa yote ya kisheria
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Labda kama wanakuita kishkaji lakini kama ni kwa mujibu wa sheria na miongozo ya jeshi la polisi haiko hivyo unavyo sema wewe.
 
Lissu kuwa mgombea urais hakumfanyi kuwa yuko juu ya sheria! Matamshi ya kwenye kampeini yanayovunja sheria hayawezi kuachwa bila kushughulikiwa na vyombo vya sheria kwani ni kuamini kuwa kwa vile yeye ni mgombea basi anaweza akavunja sheria bila kushughulikiwa na hivyo yuko juu ya sheria!

Nobody is above the law!!!!!!. Unless Lissu na wewe mna imani tofauti
Vipi kuhusu mgombea mwenzie anapovunja Katiba kubagua watu huko kwenye Kampeni
 
Wakati huohuo tume ya uchaguzi inahenya kumpelekea Lissu barua yao mkono kwa mkono kama Lissu alivyowaagiza na siku wakifanikiwa kumpelekea watakumbana na kifungu kingine


Lkn mna uchaguzi usoni mnaouhitaji ili kupata Madiwani na Wabunge wengi kama kweli mnaipenda chadema, sidhani kama haya masomo yenu ya Sheria yatawaongezea kura zozote zile, ...
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.

Wanakuita baada ya kukueleza kosa lako
 
Mimi siyo mwanasheria wala mwanasiasa, lakini nina foundation nzuri sana kuhusu sheria kwa vile ninaishi mazingira ambayo ujuzi wa sheria ni wa muhimu sana. Kwa mfano polisi akikuwashia taa za rangi barabarani huwezi kukimbia ukidai kuwa hujaambiwa kosa lako; ukikimbia unakuwa umetenda kosa, na anaweza kukurushia risasa au kutafuta polisi wengine wakuzingire na hata kuangusha gari lako mtaloni kwani wakti huo tayari unakuwa ni mhalifu hata kama sababu waliyokuwa wanataka kukuuliza haikuwa inahusianiana na makosa yako binafsi. Simama umsikilize kwa nini kakuwashia taa za rangi, baada ya hapo ndipo uulizea uhalali wake kukusimamisha.

Polisi siyo mahakama, hawahukumu bali kazi yao ni kutafuta ushahidi, na raia anakuwa anavunja sheria kuwazuia polisi kutafuta ushahidi huo. Ukishashaingiza mambo ya sheria kwenye siasa basi unakuwa unapoteza watu wako, na pia kuvuruga jamii. hakuna uhusiano wowote kati ya sheria na siasa kwenye jamii timamu.
Kiufupi huijui sheria kwa justification unayojaribu kuijenga.
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Barua yenyewe utafikirialiandika mtoto wa chekechea makosa kibao ya maandishi.
 
View attachment 1587578SORO Vumilia dawa iingie lissu anakudunga sindano za farasi na punda
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.

The United States government reaffirms unequivocally that it does not support any specific candidate or party in Tanzania’s upcoming elections. The United States supports the democratic process itself. We support a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process, before, during, and after election day. This includes ensuring the safety of all contestants, respect for the rule of law, and the absolute impartiality of the authorities in charge of managing the elections.

The United States, along with other democratic nations, will be paying close attention to actions of individuals who interfere in the democratic process or instigate violence against the civilian population before, during, or after the elections. We will not hesitate to consider consequences for those found to be responsible for election-related violence or undermining the democratic process.

We welcome the calls by the leading candidates for a peaceful and transparent electoral process, and we urge them and their supporters to take measures to decrease tensions and avoid inciteful rhetoric.

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 1 October, 2020 | Topics: Press Releases
 
Wakati huohuo tume ya uchaguzi inahenya kumpelekea Lissu barua yao mkono kwa mkono kama Lissu alivyowaagiza na siku wakifanikiwa kumpelekea watakumbana na kifungu kingine
Kwa nn hizi taasisi hazijielewi.why TL tu!/.huku NEC,kule IGP,mara MITUNGI YA GESI,mbali kidogo makada.ama kweli wanapelekwa MCHAKAMCHAKA.
Hawatamuweza TL wacha wakurupuke tu kwa kumfurahisha MEKO.aliko mwenyewe hana hamu.wamebaki vibaraka wanarusharusha miguu.uzuri wanajua wanaemfwatafwata.amigoooo
 
Back
Top Bottom