Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Mkumbusheni Lisu kuwa kuna mstari baina ya kuwa mgombea na kuwa Rais,

Sasa yeye anafikiri kuwa mgombea wa Urais ndio tayari ushakuwa Rais hivyo unakuwa juu ya vyombo vya dola.

Aende tu huko anakoitwa kwani jamaa wanauwezo wa kumfuata na kumchukua muda wowote wakitaka.

Hata mimi tu RAIA naweza kumkaripia polisi kwa sbb hawa ni watumishi wa RAIA. Yaani raia ndiyo mabosi wa polisi....hili liko wazi sana!
 
IJIPI swairo acha u mburura,ka hujui jinsi ya kuandika barua za wito MUOMBE JEMBE LISSU AKUPE SHULE YA BURE
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Weka kifungu hapa ili tuone ni wapi sheria inasema hivyo
 
Tundu Lissu katika Ukurasa wake wa Twitter, ameweka Barua ya Polisi na kuandika Maneno haya "Wito wa polisi sio barua ya kirafiki, ni amri ya kisheria. Wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa. Barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama. Huu sio wito wa polisi kwa mujibu wa sheria. Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi kesho."

Soma pia: IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro
Kama kawaida analeta ule ujanja wake wa kizembe? Katambi said this
 
Hata wewe unachosha sana ICC imekuwa ikiwabembeleza sana
Hivi tangia ICC imefunguliwa imeshakamata viongozi wangapi?

Hawana ata uwezo wa kutoa sanctions mabeberu yote yenye nguvu duniani sio wanachama US, China, Russia na karibu nchi zote za EU ikiwemo UK.

Hivi kwa akili zako ICC ni taasisi yenye nguvu, that’s just a toothless dog it only barks.
 
Isjui kilichokuwa kichwani mwa polisi katika kuandika barua hiyo kwa Mwenyeketi, ila ninadhani kuwa hawakutaka kuathri kampeini za CHADEMA wakati Lissu akiwa anahojiwa na polisi: ni uungwana tu kuhakikisha mwenyekeiti anaweka mtu wa kuendesha kampeini za Lissu wakati hayupo kwenye majukwaa.
Kilichopo kichwani mwa Polisi wa ccm ni maagizo ya kumkoa Lisu tokea kwa ccm tu si zaidi ya hapo
 
Hivi tangia ICC imefunguliwa imeshakamata viongozi wangapi?

Hawana ata uwezo wa kutoa sanctions mabeberu yote yenye nguvu duniani sio wanachama US, China, Russia na karibu nchi zote za EU ikiwemo UK.

Hivi kwa akili zako ICC taasisi yenye nguvu, that’s just a toothless dog it only barks.
Hicho si kigezo cha kuwazuia kuja kumkata IGP na mkurugenzi wa Tume isiyo huru ya uchaguzi
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Hapa hatuzungumzii mazoea, tunatungumzia sheria inasemaje.
 
IGP ni wa kumsamehe wazee,
Anayo ongea si kwamba ana afiki, ni maagizo batili kutoka kwa boss wake

Kweni IGP sio mwanasheria wa kuweza kupambanua maagizo mazuri na maagizo mabaya toka kwa Boss wake? au tuseme kajitoa muhanga kwa lolote mbele ya Mungu wake?
 
Hicho si kigezo cha kuwazuia kuja kumkata IGP na mkurugenzi wa Tume isiyo huru ya uchaguzi
Walishindwa kwenda kuwakamata Kenyatta na Ruto waliohamasisha fujo na kila siku wapo nje ya nchi waje kumkamata Sirro Tanzania.

Get serious acha kutishia watu wazima nyau, besides Lissu sio kwamba anaonewa ni mtu asieheshimu sheria he is becoming a real pest.
 
Back
Top Bottom