Ameandikiwa Mwenyekiti wake wa Chama. Sasa kama amfika hatua ya kukataa maagizo ya mwenyekiti wake wa Chama...Mh. Mbowe kama barua inavyomuelekeza mwenyekiti kufanya. Dharau kwa vyombo vyetu halali kisheria na kikatiba kama Polisi, ukweli zitamponza kisiasa. Acha aendelee 'kuota mapembe'!
Na wewe umeingia chaka!!??
Hapa kuna scenarios mbili!
MOSI, utendaji kazi wa kazi wa polisi wa kila siku kwa mujibu wa sheria na;
MBILI, wajibu wako kwa mujibu wa KANUNI na MAADILI ya uchaguzi mkuu, 2020...
Sasa mtu aweza kujiuliza, wako wapi?
Anyway, twaweza kusema hivi:
Kama kuna JINAI imetendwa na mgombea Urais wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu, that's well and good, wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria.....
Na hiki ndicho kinachosemwa, kuwa;..
MOSI, kuanzia kwenye uandishi wa barua tu kuna mapungufu makubwa ya kisheria inayosababisha the whole case kukosa maana....!!
PILI, wito anapelekewa mtu asiyehusika (Mwenyekiti wa CHADEMA) kana kwamba yeye ndiye mtuhumiwa badala ya kupelekewa anayedaiwa kutenda kosa..!!
Tukirudi kwenye scenario ya pili, yaani, kwa kuangalia jukumu la POLISI katika msimu huu wa uchaguzi na kwa mujibu wa KANUNI na MAADILI ya uchaguzi mkuu 2020 hapo ndo unaona makosa makubwa zaidi ya polisi....
Yaani unawaona kabisa hawajui wajibu wao na hawajui kama kuna shida inayohusu uchaguzi waishughulikieje....
KANUNI na MAADILI zinataka Chama cha siasa kinachoshiriki uchaguzi ama mgombea ama serikali (polisi ikiwemo) na NEC yenyewe...
Kwamba, kama wakiona KANUNI na MAADILI yanakiukwa na chama ama mgombea, ama serikali ama NEC, basi wapeleke malalamiko hayo katika kamati ya maadili ya ngazi husika kwa maandishi.....
Polisi inayodai kutendewa ndivyo sivyo na mgombea URAIS wa CHADEMA ndg Tundu Lissu wamefuata utaratibu huu?
NB: Hapo hakuna kesi, ni mbinu tu za kum - distract huyu bwana kujaribu kumtoa kwenye reli. Bahati mbaya kwao ni kuwa, CHADEMA na mgombea wao wako very prepared kuliko wao....!!