Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Eti huyu ndio anataka kuwa Rais. Anakataa wito halali wa polisi kwa kutegemea kuonewa huruma. Kamekaa kiugomviugomvi....
Tunafundishwa kutii sheria bila shuruti.
Pelekeshweni nyie mapoyoyo,ni kosa gani amefanya huyo Lisu?
 
Yani pandiki awe Lissu alafu aliyetuaidi Noah nchi nzima timatu? Kwetu Sasa hivi tungekuwa na Noah 32. Alafu tutoke kwenye madai ya Tilioni 467 Tubate bilioni 500 tu? Ata Kama nikuchumia tumbo hapa mmepilitiza
Imagine, Mzalendo anasamehe Billion 198 USD halaf anadai wamefanikiwa kwa kupata Million 300 Tshs ....!!

Hawa jamaa watwambie ukweli zile Billion 198 USD zimeyeyukia wapi .... kama wakina Osorro walikosea waseme tutawasamehe ....!!
 
Yaani afadhali ata zama hizo ndio kidogo walikuwa wana support ya mataifa yenye nguvu.

Tangia watishie kuchunguza majeshi ya US na UK huko Middle East na hoja kuondoa support ya ndio kabisa hiyo taasisi kwa sasa imekuwa very useless.

Hizo porojo za Lissu ni kwa ajili ya mtu kama wewe, watu wenye akili zao timamu wanaona Lissu ni mtu anaedekezwa tu kupitiliza na mamlaka za Tanzania.
Taratibu mzee Lissu kajipanga siyo wa kumuingia ovyo ovyo. Usiwe na akili kama ya Bashite.
 
Ameandikiwa Mwenyekiti wake wa Chama. Sasa kama amfika hatua ya kukataa maagizo ya mwenyekiti wake wa Chama...Mh. Mbowe kama barua inavyomuelekeza mwenyekiti kufanya. Dharau kwa vyombo vyetu halali kisheria na kikatiba kama Polisi, ukweli zitamponza kisiasa. Acha aendelee 'kuota mapembe'!

Na wewe umeingia chaka!!??

Hapa kuna scenarios mbili!

MOSI, utendaji kazi wa kazi wa polisi wa kila siku kwa mujibu wa sheria na;

MBILI, wajibu wako kwa mujibu wa KANUNI na MAADILI ya uchaguzi mkuu, 2020...

Sasa mtu aweza kujiuliza, wako wapi?

Anyway, twaweza kusema hivi:

Kama kuna JINAI imetendwa na mgombea Urais wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu, that's well and good, wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria.....

Na hiki ndicho kinachosemwa, kuwa;..

MOSI, kuanzia kwenye uandishi wa barua tu kuna mapungufu makubwa ya kisheria inayosababisha the whole case kukosa maana....!!

PILI, wito anapelekewa mtu asiyehusika (Mwenyekiti wa CHADEMA) kana kwamba yeye ndiye mtuhumiwa badala ya kupelekewa anayedaiwa kutenda kosa..!!

Tukirudi kwenye scenario ya pili, yaani, kwa kuangalia jukumu la POLISI katika msimu huu wa uchaguzi na kwa mujibu wa KANUNI na MAADILI ya uchaguzi mkuu 2020 hapo ndo unaona makosa makubwa zaidi ya polisi....

Yaani unawaona kabisa hawajui wajibu wao na hawajui kama kuna shida inayohusu uchaguzi waishughulikieje....

KANUNI na MAADILI zinataka Chama cha siasa kinachoshiriki uchaguzi ama mgombea ama serikali (polisi ikiwemo) na NEC yenyewe...

Kwamba, kama wakiona KANUNI na MAADILI yanakiukwa na chama ama mgombea, ama serikali ama NEC, basi wapeleke malalamiko hayo katika kamati ya maadili ya ngazi husika kwa maandishi.....

Polisi inayodai kutendewa ndivyo sivyo na mgombea URAIS wa CHADEMA ndg Tundu Lissu wamefuata utaratibu huu?

NB: Hapo hakuna kesi, ni mbinu tu za kum - distract huyu bwana kujaribu kumtoa kwenye reli. Bahati mbaya kwao ni kuwa, CHADEMA na mgombea wao wako very prepared kuliko wao....!!
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Turejeshe kifungu cha sheria husika tafadhali!
 
Yaani afadhali ata zama hizo ndio kidogo walikuwa wana support ya mataifa yenye nguvu.

Tangia watishie kuchunguza majeshi ya US na UK huko Middle East na hao jamaa kuondoa support ya ndio kabisa hiyo taasisi kwa sasa imekuwa very useless. Afadhali wakati US na UK wakati wana support walikuwa walau wanasaidia kutoa pressure.

Hizo porojo za Lissu ni kwa ajili ya mtu kama wewe, watu wenye akili zao timamu wanaona Lissu ni mtu anaedekezwa tu kupitiliza na mamlaka za Tanzania.
Wenye Akili timamu wanajua ICC ina nguvu ngoja walete wito kwa IGP tuone CCM mtasemaje maana IGP kagoma kufanya kazi kwa mjibu wa Sheria kaamua kuwa kada wa CCM bila aibu
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Wew sheria ulisomea wapi hizo
 
binafsi nahisi vitu vingine vinahitaji busara wala hakuna haja ya kutafuta BINGWA wa sheria......
Nakumbuka Muheshimiwa aliweza kuhalalisha wimbo wa Taifa uongezwe ubeti eti kwa kuwa hauna hati miliki; Nikajiuliza, hivi mtu anaweza kulima shamba la mtu mwingine eti kwa kuwa mwenye shamba hana hati miliki; nahisi Busara ni muhimu sana kwenye uongozi
hovyooooooooooo bora ungefunga tu hiyo papuchi yako
 
Lissu jembe,jeshi la mtu mmoja lakini mijituishajinyea kweli!FYAMBAFU ZAO
Nendeni mkawaokoe wagombea wenu wa ubunge wameelemewa mmewekeza kwenye urais mkidhani mtaambulia kweli chadema majanga, kule shinyanga wagombea wenu hoi hata kampeni zimewashinda ukata unawagegeda
 
Taratibu mzee Lissu kajipanga siyo wa kumuingia ovyo ovyo. Usiwe na akili kama ya Bashite.
Kajipanga kwa kitu gani? Zaidi ya fix za kitoto.

Hivi unadhani huko serikalini watu ni bogus kama yeye kwenye international matters.

Ni hivi Lissu so far amekuwa akipewa heshima, ashiriki chaguzi kwa amani, afanye campaign zake bila ya kubughuziwa na ndio wote tungependa kuona kinatendeka.

Hila yeye tangia amerudi amekuwa mtu provocative tu halafu anachekewa.
 
Duuh ina maana hapa Tz watu wanapaswa kurudi tena darasani eeeh?

Tatizo wengi wanaopewa hizi kazi za upolisi ni makada wa CCM na waliofeli darasa la saba na form 4. Na wanapoenda mafunzo wanapewa maneno ya wazee wa chama ndio vitabu vyao . Kila ukiwasifu wazee wa Chama na ukiwaumiza wananchi ndio unapewa cheo zaidi , matokeo yake ndio haya tunayoyaona leo.
 
Na wewe umeingia chaka!!??

Hapa kuna scenarios mbili!

MOSI, utendaji kazi wa kazi wa polisi wa kila siku kwa mujibu wa sheria na;

MBILI, wajibu wako kwa mujibu wa KANUNI na MAADILI ya uchaguzi mkuu, 2020...

Sasa mtu aweza kujiuliza, wako wapi?

Anyway, twaweza kusema hivi:

Kama kuna JINAI imetendwa na mgombea Urais wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu, that's well and good, wafanye kazi yao kwa mujibu wa sheria.....

Na hiki ndicho kinachosemwa, kuwa;..

MOSI, kuanzia kwenye uandishi wa barua tu kuna mapungufu makubwa ya kisheria inayosababisha the whole case kukosa maana....!!

PILI, wito anapelekewa mtu asiyehusika (Mwenyekiti wa CHADEMA) kana kwamba yeye ndiye mtuhumiwa badala ya kupelekewa anayedaiwa kutenda kosa..!!

Tukirudi kwenye scenario ya pili, yaani, kwa kuangalia jukumu la POLISI katika msimu huu wa uchaguzi na kwa mujibu wa KANUNI na MAADILI ya uchaguzi mkuu 2020 hapo ndo unaona makosa makubwa zaidi ya polisi....

Yaani unawaona kabisa hawajui wajibu wao na hawajui kama kuna shida inayohusu uchaguzi waishughulikieje....

KANUNI na MAADILI zinataka Chama cha siasa kinachoshiriki uchaguzi ama mgombea ama serikali (polisi ikiwemo) na NEC yenyewe...

Kwamba, kama wakiona KANUNI na MAADILI yanakiukwa na chama ama mgombea, ama serikali ama NEC, basi wapeleke malalamiko hayo katika kamati ya maadili ya ngazi husika kwa maandishi.....

Polisi inayodai kutendewa ndivyo sivyo na mgombea URAIS wa CHADEMA ndg Tundu Lissu wamefuata utaratibu huu?

NB: Hapo hakuna kesi, ni mbinu tu za kum - distract huyu bwana kujaribu kumtoa kwenye reli. Bahati mbaya kwao ni kuwa, CHADEMA na mgombea wao wako very prepared kuliko wao....!!
Polisi hawafanyi kazi kwa mjibu wa Sheria mbele ya chadema bali hufanya kazi kwa mjibu wa maelekezo ya maccm hapo ndipo kwenye Tatizo kubwa
 
MTU Lissu itapita miaka 100 ndio atazaliwa tena Tanzania.
Wasugueeee Wasugueee haoooooo
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Tuwekee hapa hiyo sheria
 
Tundu Lissu katika Ukurasa wake wa Twitter, ameweka Barua ya Polisi na kuandika Maneno haya "Wito wa polisi sio barua ya kirafiki, ni amri ya kisheria. Wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa. Barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama. Huu sio wito wa polisi kwa mujibu wa sheria. Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi kesho."

Soma pia: IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro
Kosa kubwa la polisi wa Tanzania ni pale walipoaminishwa na utawala wa awamu ya tano kwamba wapo juu ya sheria.
Walizuia kila walichoweza kuzuia hata kama ni haki ya raia kikatiba.
Waliua kila walieamua kumuua bila kifikishwa kwenye mahakama ya kisheria.
Sasa kile mlichoaminishwa kipindi chote hiki ndio sasa kimekua kitanzi kwenu.
Rudini kwenye utawala wa kisheria na utawala wa kidemokrasia mpate kupona na kuwa na jamii tulivu.
 
Back
Top Bottom