Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wakati huohuo tume ya uchaguzi inahenya kumpelekea Lissu barua yao mkono kwa mkono kama Lissu alivyowaagiza na siku wakifanikiwa kumpelekea watakumbana na kifungu kinginedadeki, kama polisi ngangari, CDM ngunguri
Wewe ni mjinga umezoea kukamatwa huko mtaani bila maelezoKuigomea polisi kufanya uchunguzi ni kinyume cha sheria; sasa sijui yeye ni mwanasheria gani. Wakati mwingine polisi wanaweza kutaka kukuhoji wewe kama shahidi kuhusu mtumhumiwa mwingine tofauti kabisa ambaye wanaweza kuwa na taarifa zake zaidi. Ni afadhali angejibu tu kuwa sasa hivi ratiba yake iko tight sana anaomba akutane na polisi katika muda mwingine siyo sasa kuliko kuweka jou hilo la kukaidi, kwani tayari ameshaweka ushahidi unaoweza kutumika dhidi yake; ndiyo maana nina mashaka sana na busara za Lissu pamoja na uanasheria wake. Hiyo kisheria ni kuizuia polizi kufanya kazi zake ammbalo ni kosa. Raia kuhojiwa na polisi ni sehemu ya majukukumu ya polisi kabla hawajamchukulia mtu hatua; yeye Lissu anaogopa nini kuhojiwa kama anajua yuko clean?
Kwa ni c imeshafika kwa Mwenye NATO.arafu mbona SIIIRO nae kashatoa pleas kabla ya kumfikia mlengwaaDah..mbona naona barua imepigwa chapa ya "confidential " halafu imetundikwa mtandaoni.
Makosa hayo ya kiuandishi sio utetezi kabisa kisheria, Tundu anajua hilo na hiyo barua kupelekwa kwa Mwenyekiti wa Chama chake kwake sidhani kama ni utetezi anapaswa atambue kuwa Chama ni Cha mwenyekiti na Chama hicho ndio kimemdhamini yeye kuwa Mgombea wa Urais na hata alipofika Tume aliwasilisha barua ya Utambulisho kutoka kwa Chama ambayo Katibu wa Chama ndio alimtambulisha Tume. Hivyo Polisi kumtaarifu Mwenyekiti juu ya hilo ni sahihi kabisa kuwa mtu wako anahitajika. Na anahitajika kuhojiwa kutokana na matamshi na kauli zake alizozitoa.
Tundu anachofanya ni kuchelewesha tu lakini bado sheria inambana.
Nothing more nothing less..
Kweli Lissu anawapeleka mchaka mchaka [emoji3]
kwa kuwa wameamua kumwandikia basi lazima barua itimize matakwa yote ya kisheriaLissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Labda kama wanakuita kishkaji lakini kama ni kwa mujibu wa sheria na miongozo ya jeshi la polisi haiko hivyo unavyo sema wewe.Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Vipi kuhusu mgombea mwenzie anapovunja Katiba kubagua watu huko kwenye KampeniLissu kuwa mgombea urais hakumfanyi kuwa yuko juu ya sheria! Matamshi ya kwenye kampeini yanayovunja sheria hayawezi kuachwa bila kushughulikiwa na vyombo vya sheria kwani ni kuamini kuwa kwa vile yeye ni mgombea basi anaweza akavunja sheria bila kushughulikiwa na hivyo yuko juu ya sheria!
Nobody is above the law!!!!!!. Unless Lissu na wewe mna imani tofauti
Wakati huohuo tume ya uchaguzi inahenya kumpelekea Lissu barua yao mkono kwa mkono kama Lissu alivyowaagiza na siku wakifanikiwa kumpelekea watakumbana na kifungu kingine
Dah..mbona naona barua imepigwa chapa ya "confidential " halafu imetundikwa mtandaoni.
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Kiufupi huijui sheria kwa justification unayojaribu kuijenga.Mimi siyo mwanasheria wala mwanasiasa, lakini nina foundation nzuri sana kuhusu sheria kwa vile ninaishi mazingira ambayo ujuzi wa sheria ni wa muhimu sana. Kwa mfano polisi akikuwashia taa za rangi barabarani huwezi kukimbia ukidai kuwa hujaambiwa kosa lako; ukikimbia unakuwa umetenda kosa, na anaweza kukurushia risasa au kutafuta polisi wengine wakuzingire na hata kuangusha gari lako mtaloni kwani wakti huo tayari unakuwa ni mhalifu hata kama sababu waliyokuwa wanataka kukuuliza haikuwa inahusianiana na makosa yako binafsi. Simama umsikilize kwa nini kakuwashia taa za rangi, baada ya hapo ndipo uulizea uhalali wake kukusimamisha.
Polisi siyo mahakama, hawahukumu bali kazi yao ni kutafuta ushahidi, na raia anakuwa anavunja sheria kuwazuia polisi kutafuta ushahidi huo. Ukishashaingiza mambo ya sheria kwenye siasa basi unakuwa unapoteza watu wako, na pia kuvuruga jamii. hakuna uhusiano wowote kati ya sheria na siasa kwenye jamii timamu.
Barua yenyewe utafikirialiandika mtoto wa chekechea makosa kibao ya maandishi.Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Basi utakamatwa kwa kukataa kutii sheria bila shuruti!
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.View attachment 1587578SORO Vumilia dawa iingie lissu anakudunga sindano za farasi na punda
Kwa nn hizi taasisi hazijielewi.why TL tu!/.huku NEC,kule IGP,mara MITUNGI YA GESI,mbali kidogo makada.ama kweli wanapelekwa MCHAKAMCHAKA.Wakati huohuo tume ya uchaguzi inahenya kumpelekea Lissu barua yao mkono kwa mkono kama Lissu alivyowaagiza na siku wakifanikiwa kumpelekea watakumbana na kifungu kingine
Duuh inamaana hapa Tz watu wanapaswa kurudi tena darasani eeeh?
Nilikuwa siperuzi tweeter leo imenilazimu nipitie!Inawezekana lengo ni kumzuia kukutana na mabalozi.
Mmevurugwa mkavurugikaMwongo eti anaenda kukutana na mabalozi wakati anaenda kuhojiwa na tume ya maadili