Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Haa haa 😂 😂 😁😁 haa...

Umekosea. Hakukataa wito wa "KWENDA MBINGUNI" bwana. Mbinguni kuzuri eti. Hakuna awezaye kwenda huko...!!

Jamaa aligomea na kukataa wito wa " KWENDA KUZIMU YA CCM na MAGUFULI" kwa tiketi 38 za AK47 na SMG za Cyprian Musiba na Bashite....!!!
Cyprian Musiba anahaha na vijarida vyake kumchafua Lisu ingawa havina wateja kwani hakuna mwenye Akili timamu atasoma vigazeti vyake vya kusifia maccm kueneza chuki
 
Huyu jamaa ni jeuri haswaaa, ila mashabiki wake mnaona sasa hatua zikichukuliwa msilielie.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI

Hatua gani mkubwa nje ya kufuata SHERIA?

Kama ni hatua za kupigana RISASI 38 za AK47 na SMG, aaaah huko sisi hatupo, chukueni tu hatua hizo, kisha tuone nyie mtaponea wapi....!
 
Polis nadhani hawajui maana ya neno confidential labda wanajua ni muhuri wa kawaida
Tena ni ujuha kutumia headed paper ya Jeshi la Polisi yenye nembo na kubandika neno confidential wakati barua inapitia kwa mtu mwingine hivyo kuondoa umaana wa confidential na content (maudhui) ya barua hayakidhi haja ya kisheria ya kumuita mtu Polisi.
 
Barua kaandikiwa Mwenyekiti wake wa Chama, sasa yeye "anachachawa nini" kwa kutoa hadhari barua ya Mwenyekiti wake mitandaoni!? Atulie.
Mbona polepole kawaita wapinzani misukule Polisi hawajamwandikia barua mwenyekiti wa CCM kumtaka polepole aripoti polisi
 
Hapo anakosea sana, Lissu unafanya makosa ya kijinga, unavunja sheria kwa makusudi ili ufanye ubishi, unafundisha watu kutoheshimu sheria.

Wewe umeshaamua kuwa lazima uwashe moto nchini na uvunje amani. Haitakubalika, lazima utii amri na sheria, unapoonewa tutakupigania, lakini ukionea tutaka sheria ichukue mkondo wake.

Hivi ameitwa polisi kwa kosa lipi?

Ni kwa "kutishia kuwasha moto nchi" au "kufokea na kugombezana na polisi!"

Halafu wewe uko nje ya mada...

Kinachojadiliwa na kubishaniwa hapa ni LEGAL PROCEDURES kushughulukia tatizo ama kosa lolote...

Hakuna asemaye Tundu Lissu hawezi kukosea. Hata yeye hajasema lolote kuhusu kukosea ama kutokosea kwake...

Amewaambia polisi wafuate sheria kumtumia wito wa kuonana nao iwapo "wanadhani" ana kosa la kujibu...

Ni hapo tu, hakuna kingine. Sasa wewe mbona unaleta mambo ambayo hayapo??
 
Lissu kuwa mgombea urais hakumfanyi kuwa yuko juu ya sheria! Matamshi ya kwenye kampeini yanayovunja sheria hayawezi kuachwa bila kushughulikiwa na vyombo vya sheria kwani ni kuamini kuwa kwa vile yeye ni mgombea basi anaweza akavunja sheria bila kushughulikiwa na hivyo yuko juu ya sheria!

Nobody is above the law!!!!!!. Unless Lissu na wewe mna imani tofauti
Unazungumzia matamshi ya kumwambia Magufuli mwizi? Kwani ni uongo?
 
Eti Polisi katumwa na maccm kumhoji Tundu lisu? Hapo kuna haki kweli?
 
Sec 100(2) of the CPA ndivyo haswa inavyotaka:-

(2) Every summons shall be directed to the person summoned and shall require him to appear at a time and place to be appointed in the summons before a court having jurisdiction to inquire into or try the offence alleged to have been committed and shall state shortly the offence with which the person against whom it is issued is charged.
Hii ni kwa Court Summons. Vipi kuhusu Police Summons? Kuna kifungu tofauti au ni hiki hiki?
 
Mimi siyo mwanasheria wala mwanasiasa, lakini nina foundation nzuri sana kuhusu sheria kwa vile ninaishi mazingira ambayo ujuzi wa sheria ni wa muhimu sana. Kwa mfano polisi akikuwashia taa za rangi barabarani huwezi kukimbia ukidai kuwa hujaambiwa kosa lako; ukikimbia unakuwa umetenda kosa, na anaweza kukurushia risasa au kutafuta polisi wengine wakuzingire na hata kuangusha gari lako mtaloni kwani wakti huo tayari unakuwa ni mhalifu hata kama sababu waliyokuwa wanataka kukuuliza haikuwa inahusianiana na makosa yako binafsi. Simama umsikilize kwa nini kakuwashia taa za rangi, baada ya hapo ndipo uulizea uhalali wake kukusimamisha.

Polisi siyo mahakama, hawahukumu bali kazi yao ni kutafuta ushahidi, na raia anakuwa anavunja sheria kuwazuia polisi kutafuta ushahidi huo. Ukishashaingiza mambo ya sheria kwenye siasa basi unakuwa unapoteza watu wako, na pia kuvuruga jamii. hakuna uhusiano wowote kati ya sheria na siasa kwenye jamii timamu.
Nyie mnaoandika maandishi mengi,mnaandikaga ujinga mwingi sana! kama ww mfano
 
Mbona polepole kawaita wapinzani misukule Polisi hawajamwandikia barua mwenyekiti wa CCM kumtaka polepole aripoti polisi
Kumbe Lissu ni level ya Humphrey, sikujua. Sawa Mkuu, nimekuelewa!
 
Nahisi Sirro anakosa raha Sana ya kuwa IGP.

Mchakamchaka mwanzo mwisho,akigeuka huku Jiwe anamshurutisha akigeuka kule Lissu anamuhenyesha.

Safi sana Mh Lissu lazima wawe na nidhamu ya kazi hao vibaraka wa Jiwe![emoji16][emoji16]

...akivuka maji anamkuta Mzee wa miaka 70 Maalim Seif Sharif Hamad

...hapa imebaki kidogo tu CDF Venance Mabeyo naye atatoka kutoa statement!!
 
Eti Polisi katumwa na maccm kumhoji Tundu lisu? Hapo kuna haki kweli?
"Chana cha democrasia"[emoji16][emoji16][emoji16]
432090.jpg
 
Nani anaevunja sheria polisi inaelinda mikutano yake, au yeye anaetaka kufanya campaign bila ya kibali, kuongea na watu usiku wakati mwisho saa 12 jioni na kuanza kutukana watu.

Kanuni zipo wazi omba kibali utapewa ili mikutano isiingiliane na mikutano mwisho saa 12 jioni. Yeye ataki anataka kusimama anapojisikia na kukutana na watu kwenye giza.
Kabla hujajiingiza kwenye kujadili complex issues. Nakusihi ujifunze kwanza kutofautisha Kibali na Taarifa. Kinachotakiwa ni kutoa taarifa Polisi sio Kuomba Kibali dada yangu.
 
Tatizo siyo IGP, tatizo ni Lissu kuamini anajua shréria kuliko yeyote nchi hii. Hiyo sheria yake sijui kama anakumbuka hata majukumu ya polisi ni yapi! Ni mwepesi wa kutunga hata sheria isiyokuwepo. Angeweza kuwa rais iko siku atauliza sheria inayomlazimisha mtu kutumia choo.
Pumbavu
 
Kabla hujajiingiza kwenye kujadili complex issues. Nakusihi ujifunze kwanza kutofautisha Kibali na Taarifa. Kinachotakiwa ni kutoa taarifa Polisi sio Kuomba Kibali dada yangu.
CCM vichwa vyao ni vizito Sana,na hili Ni sababu mojawapo ya kuishi kwa mazoea miaka yote ya unyonyaji wao.
 
Tundu Lissu katika Ukurasa wake wa Twitter, ameweka Barua ya Polisi na kuandika Maneno haya "Wito wa polisi sio barua ya kirafiki, ni amri ya kisheria. Wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa. Barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama. Huu sio wito wa polisi kwa mujibu wa sheria. Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi kesho."

Soma pia: IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro
Walizoea kuwadakua Kama Mwewe anavyodakua vifaranga watu wanaokwenda kinyume na mtazamo wao, lakini kwa comred Lissu wanafedheheka😂😂
 
Kumbe Lissu ni level ya Humphrey, sikujua. Sawa Mkuu, nimekuelewa!
Hujaelewa mpaka siku ukielewa kuwa IGP hupokea Amri za polepole na mkurugenzi wa Tume ya ccm ya uchaguzi kuwatuma polis kuwapiga mabomu wapinzani.
 
Back
Top Bottom