Ni kweli hizi Ni kampeni, eidha wapeleke malalamiko time au wamkamate tu Kama Kuna jinaiPolis wanafanya makosa makubwa sana kisheria, sio kila kosa ni LA kushughulikiwa na polis hata kama linawagusa polis wenyewe.Kwa mfano tukio analodaiwa kutenda lissu limetokea katika mazingira ya kampeni za uchaguzi, polis walipaswa kupeleka malalamiko kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi, tukisema kila kinachofanywa na mgombea kipelekwe polis muda huu sio sawa..