Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Hakika, ona kenya hakuna ujinga huuAisee kama sote tungekuwa kama Lisu, Nchi hii ingekuwa mbali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika, ona kenya hakuna ujinga huuAisee kama sote tungekuwa kama Lisu, Nchi hii ingekuwa mbali sana
Kabudi no waziri wa mambo ya nje ndie bosi wa mabalozi wote aweza ongea nao anytimeKabudi naye aliongea nao, Je nayeye ni pandikizi ?!
Weka kifungu cha sheria, nyie ndio mnasema polisi ni halali kupiga anapokamata mtuumiwa,lissu anatafuta sqbabu ya kushindwa
kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu,maelezo utayakuta polisi,na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote
Wito wa "kishkaji" siyo wito wa kisheria, polisi ifuate sheria na Lissu atatii sheria!Basi utakamatwa kwa kukataa kutii sheria bila shuruti!
Alichosema Lissu ni sahihi kabisa, hizo ndio taratibu rasmi za utendaji wa Polisi , kwa mujibu wa sheria.lissu anatafuta sqbabu ya kushindwa
kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu,maelezo utayakuta polisi,na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote
Yaani Magufuli amewageuza vijana wa Tz kuwa mazezeta kuliko ilivyokuwa kabla ya utawala wake. Kwa hivyo mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa ni maadui wa Tz , na mabalozi waTz wanaowakilisha Tz katika nchi mbalimbali ni maadui wa nchi hizo?Kabudi naye aliongea nao, Je nayeye ni pandikizi ?!
Polisi hata anapokuja kukumata, ni shariti akuelese kosa lako kwanza.Sasa itakuwaje wito wa Polisi hauelezi kosa?
Bila ya kosa ukaripoti tu?sasa kwanini barua hajapewa huyo anaetakiwa kuripoti?Wewe karipoti tu polisi mkuu,