Tundu Lissu: Ya Kujitoa Tanzania Mahakama ya Afrika

Na wewe mjanja zaidi peleka vielelezo polisi sheria ichukue mkondo wake.
 
Tindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
Anaisema nchi au anawasema hawa hayawani ambao kila siku wanafanya hitihada za kiuitenga Tanzania na Dunia?
 
Pia amesababisha uwekezaji katika ujenzi wa kiwanda kwaajili ya uchakataji gas asililia (LNG) wenye thamani ya U$30 biliion kuondoka Tanzania na kwenda Pemba ya Mozambique. Leo ukienda Pemba utaona uwekezaji huo unavyounawirisha mji wa Pemba ya Mozambique. Watanzania wafanyabiashara wa kati sasa wanazidi kujazana Pemba - Mozambique barala ya Mtwara. Tumefukuza uwekezaji wa gas yetu halafu tunashabikia bomba la mafuta toka Uganda!! Kioja kikubwa!!

Ni uwekezaji wa kiwango ambacho tulikuwa hatujawahi kuupataTanzania tangu Dunia iumbwe - mtu mmoja tu ameukimbiza huo uwekezaji na sasa anakimbizana na kodi za vocha za simu za sh 500 za akina mama wa vijijini.

Katika Ulimwengu huu, mkibahatika, mtu mmoja tu anaweza kuokoa mamilioni ya watu lakini mkikubwa na laana, mtu mmoja anaweza kuharibu prosperity ya mamilioni ya watu wanaoishi leo na watakaozaliwa hata miaka 10 ijayo.
 
Bila ushabiki wala Nini Lissu yupo sahihi kwa mstakabali ya kulinda haki za binadamu. Tumeambiwa inajitoa lkn sababu hatujambiwa za kijitoa kwa serikali ya ukweli na uwazi. Tuambiwe km kuna hasara ambayo Taifa tunapata tukiendelea kuwepo, Tunatakiwa kufikiri sn ndg zanguni.
 
Ni ukweli mtupu...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: mahondaw
 

Wewe ni mmoja wa watu wenye uwezo hata kidogo wa kufanya evaluation ya hoja zako. Rais Magufuli ni msomi na mtawala thabiti ambaye amethibitisha hivyo kwa vitendo kiasi cha kuwapeleka puta wapinzani wake ndani na nje ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…