kasome ile hati ya Kujitoa imesainiwa na Nani halafu urudi hapa Tena kucomment mkuuHuyu jamaa ana hasira sana na Waziri P. Kabudi hivi ni kwa nini? Binafsi sijawahi hata siku moja kumsikia P.Kabudi hata tu akitaja jina la Tundu Lisu lkn yeye Tundu Lisu kutwa nzima, yuko sooo obsessed na P. Kabudi, why??
Hiyo Wizara walikuwepo wengine pia mbona haukuwa obsessed nao?
Isitoshe kwa nini hamshambulii Waziri wa Sheria Mahiga ambaye Wizara yake ndiyo mhusika mkuu na aliyeongea kuhusu hilo swala ni Mahiga na siyo Kabudi, lkn Kabudi hakutoki kwenye mdomo wako, why?
Kama wewe ni mjanja mbona ulishindwa hata tu kusoma instructions vizuri mlizopeana Mbowe na ukapatwa na risasi?
Tindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
Alichosema ni ukweli kabisaTindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
kasome ile hati ya Kujitoa imesainiwa na Nani halafu urudi hapa Tena kucomment mkuu
Ww naona kama unashikishwa rungu LumumbaTindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
we bwege tu hujui kituTindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
sasa wewe na Lissu nani unahisi ana uelewa wa mambo haya ya kidiplomasia? au uccm umekujaaHuyu jamaa ana hasira sana na Waziri P. Kabudi hivi ni kwa nini? Binafsi sijawahi hata siku moja kumsikia P.Kabudi hata tu akitaja jina la Tundu Lisu lkn yeye Tundu Lisu kutwa nzima, yuko sooo obsessed na P. Kabudi, why??
Hiyo Wizara walikuwepo wengine pia mbona haukuwa obsessed nao?
Isitoshe kwa nini hamshambulii Waziri wa Sheria Mahiga ambaye Wizara yake ndiyo mhusika mkuu na aliyeongea kuhusu hilo swala ni Mahiga na siyo Kabudi, lkn Kabudi hakutoki kwenye mdomo wako, why?
Kama wewe ni mjanja mbona ulishindwa hata tu kusoma instructions vizuri mlizopeana Mbowe na ukapatwa na risasi?
sasa wewe na Lissu nani unahisi ana uelewa wa mambo haya ya kidiplomasia? au uccm umekujaa
Mkuu siyo lazima kuchangia kila uzi!Tindu Lissu yeye anaishi kwa Mabeberu ila hakauki kiusema vibaya nchi yetu
Maendeleo unayaona katika mtazamo finyu wa barabara na reli! hayo si maendeleo peke yake kuna maendeleo ya kijamii kwa mfano katika miaka ya hivi karibuni tumewaelimisha baadhi ya makabila wakaacha kutahili wanawake hayo ni maendeleo ya kijamii. Sasa kama tunajenga barabara tuu huku watu wanaendelea kukatana visim....... hayo yatakuwa ni maendeleo ya upande mmoja wa vitu bila maendeleo ya watu. Ni mfano mdogo nimekupa.
Kuwa member wa mahakama hiyo kunazuia vipi miradi ya maendeleo?Awamu ya tano inasema kwamba miruzi mingii........, yaani haya ma-demokrasia, ma-haki za binadamu yenu nk ukiyaendekeza saana yanawacheleweshea wananchi wako maendeleo.
Mkuu siyo lazima kuchangia kila uzi!
Ndugu ongea hoja ya uzi huu ambayo ni Tanzania kujitoa kwenye Mahakama hii ya Kimataifa..
Aliyetoa tangazo la kujitoa huku upande wa serikali ni Kabudi, je ulitaka asizungumzwe hapa?
Yaani Tundulisu Leo hii umeshasahau kua ulishawahi sema Nyerere alikua Dikteta?leo hii kwakua unataka kuizungumzia Kujitoa kwaTanzania katika mahakama hii na kuiweka Serikali hii ya JPM katika kundi hilo la udikteta umesha Sahau msimamo wako wa mwanzo juu ya Baba wataifa.
Najua serikali imejitoa kwa sasa katika mahakama iyo kwasababu za kiufundi ila sinashaka siku za baadae itarudi kushilikiana ba mahakama iyo.
Dada Kawe Alumni, ktk hilo Bandiko, Tundu Lissu amesema baya gani!!??!!
Wakati mwingine siamini kama walistahili kuzipata hizo degree.Bahati mbaya sana ni shida kuhoji degree za tuliowapa dhamana.Lissu akiongea uwa anaeleweka kirahisi sana kuzidi wale wa degree 4
Magufuli udicteta wake mwisho wake utakuwa wa aibu kubwa sana