Tundu Lissu yupo Kenya kwa uzinduzi wa kitabu chake


Wale watu wasiojulikana waliompiga risasi kule Dodoma mpaka wajulikane na wakamatwe ndiyo anaweza kuja nyumbani vinginevyo hakuna sababu ya kuja maana uwezekano ni mkubwa wakumiongezea risasi zingine.
 
Ndio anakuja kuja hivyo usishangae lema nae akaja ki style yake nae
 
Ndio mijitu ya Magufuli hiyo?

Sasa si huwa nnasema mama kaikomesha kwa kuitoa kwenye system Na sasa tuko vizuri sana?
Kwenye list ongeza na Polepole, siku hizi unawasikia kama enzi za mwendazake?
 
Kwenye list ongeza na Polepole, siku hizi unawasikia kama enzi za mwendazake?
Sasa kama hawasikiki hao mijitu wa magu kwenye selikali ya mama wanatoka wapi?

Sasa hivi tuko vizuri! Kila kitu kiko kwenye mstari! Mi 10 tena kwa mama
 
Sasa kwanini mnasema selikali ya mama inaangushwa na watu wa magu na huku mnasema wamekomeshwa?
Bado hawajakata tamaa safari ya mama kusafisha uchafu wa mwendazake inaendelea.
 
Hizo kesi zilikuwepo hata kabla ya uchaguzi wa 2020.
Kwani kabla ya uchaguzi wa 2020 aliyekuwa madarakani kuelekea huo uchaguzi ni nani? CCM akili zilikimbilia sehemu
 
Kwenye nchi zenye wivu wa maendeleo watu kama hawa huendelezwa, hutunzwa na hulindwa na na serikali ili nchi ifaidi vipaji vyao, ila sisi tunawapiga risasi. Shame on us!
 
Lissu njoo home brother; jambazi kasha i evacuated nchi. Mama yupo peace ✌ hiyo mikesi kesi ya kijinga ya kisiasa ataifuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…