Tundu Lissu yupo Kenya kwa uzinduzi wa kitabu chake

arudi sasa kama amehakikishiwa usalama ambao aliupata kipindi cha kampeni[emoji16][emoji16].

uzuri wa siasa unakuwa na wafuasi wako watiifu wanaokutii hata uwaombe nini.hawawezi hata kufikiri tena.
Sasa hivi kama amehakikishiwa Usalama wake arudishiwe na stahiki zake alizodhulumumiwa
 
Ili uchumi wetu uendelee kudidimia?
Ili upae zaid, weng wanaomfurahia mama ni mafisadi, vyet fek plus madawa at work. So tuombe majaliwa aukwae urais ili nchi ipate maendeleo ya haraka
 
Nilidhani kitabu cha sayansi fulani, kumbe ngwini fulani vile! Hope ametumia english nzuri maana ile anayoandikanga kwenye magazeti na anayotumia ktk mahojiano ni balaa kwa wasomaji na wasikilizaji.

Natamani sana kuendeleza sayansi, vipi anaweza kutuandikia kitabu cha maana au ni hayo hayo ya kutumia maneno kama 'pumbavu' dikteta uchwara' n.k.
 
Wewe umeandika vitabu vingapi au unasubiri Lissu akuandikie kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…