Uchaguzi 2020 Tunduma hatutaki maji yenu! Kura zetu ni CHADEMA!

Mnataka kumpa magufuli presha nyie watu
 
Zamani wakat wa utawala wa chadema yalikuwepo
Tangu lini chadema wakawa na bajeti ya kuleta maendeleo? Eleza hizo fedha chadema walizipata wapi. Maana kila siku ikifika bajeti ya kuendeshea taifa wao wanatengeneza kiki za kukimbi inje wakisema bajeti ni hewaa. Sasa huo utawala wa chadema ulioleta maji tunduma, fedha walizipata wapiii??
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu.

Na wao waondoe ofisi za TRA Tunduma
 
SEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.
Kwahiyo asiposhinda silinde ni kweli maji hayataenda?
 
SEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.
duuuh....!! umekomaa, nikuambie kitu... hata mimi usiponichagua skupi maji...
 
Wapeleke maji, kodi ilikusanya chadema?
Unakuwa mtumwa kwa kodi yako pumbafu
 
Hivi umeona Kenya ndio ya kuilinganisha hakuna jipya hapo
 
Nyiye wote mnaobwabwaja bado mnaishi kwa baba na mama tunawapuuza bure
 
Huyu mccm ajiangalie kauli zake yeye sio Mungu kwahiyo tukiamua tunaweza kumlilia Mungu wa kweli aliye hai na akamjibu,wana Tunduma wameishi miaka yote bila maji kama sio Mungu aliyewatetea ni Nani?!?
Miaka yote alikuwa yeye? Ndio mjiulize mmekosea wapi? Kabla ya kutoa lawama
 
Mkuu acha kupotosha umma wanaohangaika kwa ukosefu wa maji na akina mama wanao amuka sa8 za usiku kwenda kuteka maji siyo wewe mhuni unaeamkia vijiweni kupiga porojo.

Acha wananchi Tuchague maendeleo hivyo vyama vyenu msituhusishe navyo.
Maendeleo ya masharti kana kwamba pesa zinatoka mfukoni mwake!!!
Kunasiku atasema toeni wake zenu mwisho atasema shikeni ukuta nanyi mtashika, maana yule jamaa anapenda sana hizi mambo.
JIANDAENI KWA HAYO, SI MNATAKA MAENDEO!
 
KWANI KUNA SIKU CHADEMA WAMESEMA CHAGUENI MBUNGE WA CCM ILITUSHIRIKIANE KULETA MAENDELEO??
 
Wazo zur: Ni kweli huyo kiongozi kibri yake imekuwa kubwa. Tunduma ni sehemu muhimu sana Kwa kodi. Mnaweza msitegemee CCM, anzisheni mfuko wa maendeleo ya Tunduma mjijengee miundo mbinu kuliko kutegemea Siasa za kihuni za CCM. Is easy and faster. Next time hamna mwanasiasa atawatania. Start now.

umasikini heleta utumwa

oo
 
Sawa...Kila la kheri
 
SEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.
Miaka yote 60 Ccm imeshindwa kuleta maji na watu walikuwa wanaishi
 
Mkuu acha kupotosha umma wanaohangaika kwa ukosefu wa maji na akina mama wanao amuka sa8 za usiku kwenda kuteka maji siyo wewe mhuni unaeamkia vijiweni kupiga porojo.

Acha wananchi Tuchague maendeleo hivyo vyama vyenu msituhusishe navyo.
Hela sio ya baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…