Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

Mbona husemi kuhusu mpemba ..

Groceries - za kuuza vinywaji Tungi

Kama zote mpemba ..

Ngono zembe ..

Hiv .. NK

Ngastuka a machaliii kundesaaa..

Kuchapiana nje njeee
 
bila kusahau ujambazi wa silaha tdm
Kawaida Sana .. Ila hawakushoot .. wanachukua kibunda wanapita hivi.

Dili za watu fumbia macho Kama hujaona .. huchukui round..


Unaenda deals Fake .. Unae mchongo .. mchongo .. mchongo .. ingia soma ramani ... Ingia mchezoni ..

People's are after money .. money ..money money ...


Ngastukaaa a machaliii kundesaaaa
 
Biashara ipo vizuri Sana hapo
 
Uwashauri wajenge viwanda maana Hivyo vitu bado miji mingi inavyo saiz matajiri wakongwe walisha hama kwenye hizo mambo wanawekeza kwenye maviwanda ili iwe rahisi hata ku control kampun zao na kingine kariakoo itabaki kuwa kariakoo uliza wafanyabiashara wangapi hapo tunduma wamehamia kariakoo na kwanini hawakubaki kuendelea kuwekeza tunduma na wengine wameenda miji mingine
 
Na miji sazi huduma za kijamii zinatawanywa kwa lengo la mji utawanyike Sasa angalia tunduma huduma zote muhimu wamepeleka mpemba je Kuna future ya mji hapo Yan vwawa itakuja iwape mfano wa mji unavo takiwa kuwa miji mingi saiz huduma zimetawqnywa ndo maana miji inasambaa hawalundikan sehemu moja
 
Maeneo mazuri na bei nzuri kupata chumba ni maeneo yapi kwa hapo Tunduma ?
Maeneo tulivu ni Kuanzia Majengo mapya nyuma ya Gapco petrol station nenda ma huo upande Hadi mwisho wa Mji kuelekea Sumbawanga Road, piya Nyerere secondary , Msongwa, njia panda Msongwa Hilo eneo ndio Kali Kwa Tunduma. Piya jaribu Dampo pale jirani Kwa Furaha, Momba garage, Kwa mchaga wa Viatu, Kwa Mzee Joseph Baba mkwee wa Manyanya like eneo limetulia . Piya mtaa wa Manyanya nyuma ya kabisa la Roma hapo kwenye Rasta barabarani
 
...Mama samia... Hivi huwa unajisikiaje mama yetu raia wa nji yako wanavokujadili kwa mazuri na mabaaaya unayowatendea...
 
We jamaa unatisha. Kuna uzi wangu mwingine umeelezea Karatu kiundani. Mimi na wewe inaonekana tumepita maeneo mengi ya hii nchi.
 
We jamaa unatisha. Kuna uzi wangu mwingine umeelezea Karatu kiundani. Mimi na wewe inaonekana tumepita maeneo mengi ya hii nchi.
Popote ninapokwenda huwa napenda kijichanganya sana, siwe mtu wa ofisini huwa na cheza na Fursa sana mfano karatu ni Mji ambao Hadi Leo ukinipa mchongo wa kurudi sifikirie mara mbili , Karatu ni sehemu pekee utakuta Dola za kimarekani zinatumika kununua vitu. Ukifika sehemu na kupata bahati ya kuishi hapo lazima ujuwe fursa na maeneo yake
 
Karatu kuna kina dada wana noti ndefu sana wakiongozwa na yule mwenye Sparrow Lounge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…