Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

Duh hatari sana hii sijui imekuaje huko wana ujasiri kama huu
Hilo eneo Lina watu wengi sana , Kuna msongamano wa watu wengi, ndio eneo la Maduka mengi makubwa.
Ukiambiwa hizo Hela wakati mwingi hazipelekwe Bank Kuna sehemu zinalala ndio utashanga kabisa, hizo Hela ama zinabaki eneo Hilo ama nyumbani Kwa mtu
 
Mbona kkoo kuna watu wengi lakn huwezi kukuta michezo kama hiyo
 
Hilo eneo Lina watu wengi sana , Kuna msongamano wa watu wengi, ndio eneo la Maduka mengi makubwa.
Ukiambiwa hizo Hela wakati mwingi hazipelekwe Bank Kuna sehemu zinalala ndio utashanga kabisa, hizo Hela ama zinabaki eneo Hilo ama nyumbani Kwa mtu

Kaka mr solo nimemtafuta kama ulivyonielekeza nimempata aisee jamaa yuko poa nimefika by saa sita mchana kanisaidia kutafuta dalali wa vyumba tumejitahidi kutafuta vyumba maeneo ya njia ya sumbawanga lakini vyumba hakuna aisee kumejaa imebidi leo nilale guest kanisaidia kutafuta tumezunguka almost guest 3 zote zimejaa ya nne ndio nimepata chumba, kesho dalali ataendelea kunitafutia chumba, ila kiukweli tunduma imechangamka sana.
 
Kama hivi mkuu hapo watu wameshika Kama million 50 hafu kuna nyomi la people hafu hata hawajali hapa hata watu kutoka dar wanakuwaga washambaa kushangaa[emoji1787][emoji1787]View attachment 2746084

aisee leo nilikua nawashangaa hadi najishtuki kuna jamaa alikua na zaidi ya 50ml kwa hesabu za haraka haraka mabulungutu wanaweka kwenye mifuko yani wala hawana hata wasiwasi anazunguka nayo mtaani nikamuuliza jamaa wa pembeni yangu nayeye anafanya exchange ya hela, vp hamuogopi kushika hela nyingi hivi si mnaweza kuvamiwa kacheka sana akaniambia umetokea wapi nikamwambia dar akasema ukikaa hapa miezi mitatu utaona ni kitu cha kawaida tuu mbona.
 
Kaka mr solo nimemtafuta kama ulivyonielekeza nimempata aisee jamaa yuko poa nimefika by saa sita mchana kanisaidia kutafuta dalali wa vyumba tumejitahidi kutafuta vyumba maeneo ya njia ya sumbawanga lakini vyumba hakuna aisee kumejaa imebidi leo nilale guest kanisaidia kutafuta tumezunguka almost guest 3 zote zimejaa ya nne ndio nimepata chumba, kesho dalali ataendelea kunitafutia chumba, ila kiukweli tunduma imechangamka sana.
Kila la kheri mkuu, Bahati njema iwe upande wako daima.👍
 
Wakuu leo ndio nimeingia tunduma siku ya kwanza pamechangamka sana aisee ila bado sijapata issue ya kufanya kwa yeyote mwenyeji wa hapa naomba tuwasiliane ikiwezekana tupatiane michongo ili maisha yaende. Ahsanteni sana.
Hongera sana kaka ,mi najipanga kuja hapo mwezi unaokuja kuanza harakati mzee ,nikija nitakucheki .
 
Kaka mr solo nimemtafuta kama ulivyonielekeza nimempata aisee jamaa yuko poa nimefika by saa sita mchana kanisaidia kutafuta dalali wa vyumba tumejitahidi kutafuta vyumba maeneo ya njia ya sumbawanga lakini vyumba hakuna aisee kumejaa imebidi leo nilale guest kanisaidia kutafuta tumezunguka almost guest 3 zote zimejaa ya nne ndio nimepata chumba, kesho dalali ataendelea kunitafutia chumba, ila kiukweli tunduma imechangamka sana.
Chumba kuanzia bei gani?....Kuna chumba ni double full container kodi ni 100,000 nilikuwa nakaa ila sasa nimeamishwa kikazi. Na nishalipia kodi zaid ya miezi sita kama bajeti yako iko fresh unaweza nitafuta nimuelekeze mwenye nyumba ulipie miezi iliyobaki ambayo ni mi 3. Napatikaba kwa 0713342243
 
Attachments

  • 20230726_124027.mp4
    41.7 MB
Zile deal za Black market upande wapili nyuma ya frame za Viatu ule upande unazalisha sana Madoni Kila mwezi kwenye deal za:-
Vipodozi.
Vitenge.
Mafuta ya Kula.
Sukari.
Sigara .
Mbegu za Mahindi / Zamsed.
Mafazeti used kutoka Zimbabwe, South Africa.
USD ;- zinatoka Congo na unazipata upande wapili, Pombe za Viroba, na Pombe za vichupa vidogo wanauza Bei ya Tshs 1000/= na Viroba vinaanzia 250-500 maeneo ya Black na Iboya.
Kuna matajiri wanspiga Hela kwenye Biashara ya kubadilisha Fedha, yeye ana Supply fedha Kwa Vijana jioni anarudishiwa na Faida , Hao wanaitwa wenye Visima , mtu ana Supply hata billioni Moja Kwa Vijana wake 30 wanaokwenda kutafuta Dolla Hadi Congo.
Kuna Wababe kwenye Biashara ya Mafuta ya Petroleum kupeleka upande wa Zambia Kuna Yule Msomali wa Petroafrica mwenye upara aliwakamata sana wa Zambia.
Kuna Yule Tajiri wa Valentine Bar ya Pale Boarder na Valentine night club Jamaa anajimbiza sana kaanzia kwenye Bar Hadi kushika soko la Viatu Hadi Kumiliki Kusoma pale Kisimani.
Yupo Dubai Tyre Jamaa anakimbiza sana kwenye biashara ya Tyre Sasa amehamia kwenye Mafuta Bei zake za Tyre ni kama Dar es salaam. Yupo yule Manyanya ameshika biashara za maduka balaa pale Boarder piya yeye ndie amehamia kwenye vituo vya Mafuta, Wapo Hawa Jamaa wa Olympic petroleum anauza Mafuta Kwa wholesale Kwa Bei ya Depot'.
Mjii wa Tunduma una Bank zaidi ya Sita, Petrol Station zaidi ya Hamsini, lodge na Bar zimetapaka Kila baada ya nyumba mbili or tatu,
Mwamba huyu hapo kwenye upande wa mafuta wengine wote wanaigiza kwanza ajawahi ishida mafuta hata yawe ya shida kivipi...hapo tu watu wamejaa wanasubili kujaziwa mafuta kwenye vyombo vyao...na wakati sheli zote zimekete mafuta
 
Attachments

  • 20230904_072002.jpg
    20230904_072002.jpg
    851 KB · Views: 6
Chumba kuanzia bei gani?....Kuna chumba ni double full container kodi ni 100,000 nilikuwa nakaa ila sasa nimeamishwa kikazi. Na nishalipia kodi zaid ya miezi sita kama bajeti yako iko fresh unaweza nitafuta nimuelekeze mwenye nyumba ulipie miezi iliyobaki ambayo ni mi 3. Napatikaba kwa 0713342243

Mkuu natafuta vya 25k au 30k iyo bei siiwezi.
 
Chumba kuanzia bei gani?....Kuna chumba ni double full container kodi ni 100,000 nilikuwa nakaa ila sasa nimeamishwa kikazi. Na nishalipia kodi zaid ya miezi sita kama bajeti yako iko fresh unaweza nitafuta nimuelekeze mwenye nyumba ulipie miezi iliyobaki ambayo ni mi 3. Napatikaba kwa 0713342243
Weka wazi hapa hicho chumba kipo maeneo gani Kwa Tunduma , tuwezi kuwashauri watu wachukue ama hapana, Kwa Tunduma Hii Bei ni kubwa sana . Anaweza kupata Bei kuanzia 20,000/Hadi 50,000/=
 
Yule. Ndugu yetu alyefika Tunduma Leo ametoa ushuhuda kuwa amefika. Maeneo ya Kisimani. , Njoo jukwaani Utupe ushuhuda, Kwa changamoto yako Yakukosa Chumba jaribu kesho kwenda sehemu Moja hapo pembeni ya NFS petrol station mwaka jirani na Las Vegas Bar Kuna kijiwe kikubwa Cha Madalali Kuna Bango kubwa na number zao, piya ukisogea Kwa Juu Mitaa ya Mabena Petrol station Kuna Madalali pale kwenye draft na bao Kuna kijiwe Cha Kahawa,
Kwa uhakika zaidi mpigie huyu dalali Mama Jau 0755281295. Dalali mwingine Mkondya 0655201365. Mtafute dalali Wa Msongwa kati 0768752398. Dalali tall mwaka Sumbawanga Road 0714674916
 
Back
Top Bottom