Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

Usisahau biashara ya groceries / Bar Kwa maeneo ya Mpemba halafu ukapeleka Totoz za Manyara na Singida utapiga Hela sana Kwa Tunduma.
Kodi nyumba nzima yenye room kuanzia Tano , setting room una design Bar hizo room nyingine unakuwa na Guest ya short time, hakuna kulala, room wawe wanalipiya 15000. Na mhudimu kuwacha kazi kwenda room ni 10000/= mwaka Moja tu upo mbali
 
Mara ya Mwisho nipo hapo kulikuwa Kastuli, Chalali, Ombay wa Bougainvillea, Jublate mnyenye,.
Kuna mwamba Moja alikuwa mkimiya na Mpole sana la Ndio alikuwa ndio number Moja wao Lekashu general hardware ,
Huyo Chalali alianzia chini sana aisee... mwaka 1995 nilimwona ana kiosk tu karibu na CCM.... ni mtu alikuwa anapiga kazi hata Punda akasome. Jublate Mnyenye alifariki...
 
Maeneo tulivu ni Kuanzia Majengo mapya nyuma ya Gapco petrol station nenda ma huo upande Hadi mwisho wa Mji kuelekea Sumbawanga Road, piya Nyerere secondary , Msongwa, njia panda Msongwa Hilo eneo ndio Kali Kwa Tunduma. Piya jaribu Dampo pale jirani Kwa Furaha, Momba garage, Kwa mchaga wa Viatu, Kwa Mzee Joseph Baba mkwee wa Manyanya like eneo limetulia . Piya mtaa wa Manyanya nyuma ya kabisa la Roma hapo kwenye Rasta barabarani
Shukran Bob
 
Huyo Chalali alianzia chini sana aisee... mwaka 1995 nilimwona ana kiosk tu karibu na CCM.... ni mtu alikuwa anapiga kazi hata Punda akasome. Jublate Mnyenye alifariki...
Karatu niliwahi fika ila siku kaa sana ,ila nilipapenda pia ,pako poa
 
Huyo Chalali alianzia chini sana aisee... mwaka 1995 nilimwona ana kiosk tu karibu na CCM.... ni mtu alikuwa anapiga kazi hata Punda akasome. Jublate Mnyenye alifariki...
Unamfahamu kijana Moja alikuwa Kwa Marehemu Jublate mnyenye , baadae akaenda Halimashauri , Sasa yupo Arusha?
Karatu kuna kina dada wana noti ndefu sana wakiongozwa na yule mwenye Sparrow Lounge.
Hivi yule Mdada aliyekuwa akaolewa na Mzungu mwenye hotel za kitaali Bado yupo hapo karatu, huyu alikuwa ansishi maeneo ya Karatu resolt ,
Vipi yule mtoto kike wa ZARA Tour , wenye Green view Bado wapo karatu?
Msalimie na huyo Mdada Manager wa NBC ambaye kipindi kile alikuwa teller hapo NBC naona Sasa amekuwa manager
 
Unalala kokote ila Kwa maeneo ya Majengo mapya, mwaka, Kwa mwaka joka, Kwa mjeshi, kilimahewa, Nyerere, Kwa Msomali, Msongwa, dampo, Msongwa, half London ni maeneo yenye usalama mzuri
Hizo sehemu ulizotaja kama msomali,msongwa nk ni za tunduma au upande wa zambia
 
Hizo sehemu ulizotaja kama msomali,msongwa nk ni za tunduma au upande wa zambia
Ni upande wa Tanzania ndio eneo llnye nyumba nzuri Kwa Tunduma, kama umewahi kufika ni Kuanzia pale standi ya zamani unapanda kama unaenda Sumbawanga ni zile nyumba zilizo upande wa Kushoto kama unakwenda Sumbawanga mpaka unafika njia ya mpanda ya Msongwa hapo kwenye ghala la Mshani Agrovet then unaingia kulia ndio panautwa msongwa
 
Dah ndugu yangu sijawahi fika tunduma naisikia tu ndio maana najaribu kuhifahamu kupitia kwako na nataka nitembelee pande hizo kwa ajili ya utafiti wa shughuli zangu
 
Maeneo tulivu ni Kuanzia Majengo mapya nyuma ya Gapco petrol station nenda ma huo upande Hadi mwisho wa Mji kuelekea Sumbawanga Road, piya Nyerere secondary , Msongwa, njia panda Msongwa Hilo eneo ndio Kali Kwa Tunduma. Piya jaribu Dampo pale jirani Kwa Furaha, Momba garage, Kwa mchaga wa Viatu, Kwa Mzee Joseph Baba mkwee wa Manyanya like eneo limetulia . Piya mtaa wa Manyanya nyuma ya kabisa la Roma hapo kwenye Rasta barabarani

Sasa hivi serikali imejitahidi sana kutengeneza bara bara za mitaa maeneo mengi ya Tunduma kwa sasa yanaaza kuboreka hata chapwa inaaza kupanda chati hata hii bara bara ya kwenda ileje itakuwa nzuri kimakazi
 
Hivi many manyanya mbona mchafu sana hafanani na utajiri wake au ni masharti
Jamaa anaetumia. Vizuri Fedha zake kwanza amejenga kijiji pale mtani kwake lotion Kali Kila mwanamke na gorofa lake , magari kibao Kila aina kuanzia Range rover , V8, SUV, na Mengine mengi, mahotel kibao, Usafiri wa Ndege ni WA kawaida Kwa Staff wake, anatumia vizuri Management information system Dukani , Petrol station , store, hotelini kwake. Kwa Kila mwamba zile zake ni zakupambambaba mwenyewe
 
Tembea uone, tatizo umejifungia kama mti
Mkuu alijionea vitu Kama hivi hakawa amedata[emoji1787][emoji1787]

Watu kule kushika million 30 mkononi Kawaida tu hafu anatembea nazo hata kilomita 1.
Screenshot_20230911-165204.jpg
 
Mwaka 2014 nilishuhudia walevijana wanao badirisha(change) fedha.wana maburungutu mengi sana ya kwacha,Tzs,$ .Nilicho Shangaan hakunaulinzi wowote,pia jamaa anawaaga wenzake wamchekie kidogo anaenda kunywa chaiau anaenda msalani.kiufupi jamaa wanajiamini balaa.
Tunduma kumuona mtu kashika 45M cash ni kawaida sana.
Kama hivi mkuu hapo watu wameshika Kama million 50 hafu kuna nyomi la people hafu hata hawajali hapa hata watu kutoka dar wanakuwaga washambaa kushangaa[emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20230911-165204.jpg
 
Back
Top Bottom