Tunduma ni mji wa kipekee. Mapigo yake ni kama Kariakoo

Mkuu nenda pale maeneo ya Mabena Petrol station mbele kidogo club Lamote, ksblabhujafika Kwa Madalali Ulizia Bei ya Kuku wa kiwnyeji wanauzwaji, piya Sogea mbele kabisa jirani na Petroafrica l Jamaa anauza kukuliza Bei ya Kuku. Halafu nenda pale kwenye Kijiwe Cha Bajaji za Chaka jirani na Olympic muone Kiongozi wa madereva wa bajaji Zinazokwenda Anaitwa Kulwa Ni mnene au muulizie Davi , hao huwa wanaokwenda vijijini nahizo bajaji Waulizie Upatikanaji wa Kuku huko vijijini, Tena upande wa Zambia.
Mfuate Kulwa mwite pembeni ongea nae muulizie Fili zilizopo huko z Chaka, kuanzia Kuku kuleta mjini, Kununua maharage kuleta mjini ama mbuzi.
Tafuta wateja humo humo kwenye hizo Bar na Vijiwe vya Chipsy

Mkuu ubarikiwe sana nikitoka chunya leo nikirudi naanza kumtafuta kulwa, kila member humu angekua na moyo kama wako tungefika mbali sisi wapambanaji, nikifanikiwa sitakusahau.
 
Yakikushinda piga dili haramu .
Ingia hapo Nakonde beba kipodozi cha kutosha weka kwa boda ingia road ukifika Mpemba kaa waza unatoaboaje zile barrier nne bila kusahau ukifika Songwe umetoboa maana utagombaniwa na wamama wa kinyakyusa na kimalila ila uwe na hela ya kuishi na wamwela au mtafute mmwela mmoja yule vywawa hapo anaitwa G muombe ABC atakubeba mpaka mzigo unafika Mbeya mjini ila andaa kilo tatu .

Note : Hizi ni hangover sijui lolote

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kufanikiwa Kwa mtu ndio Furaha yangu, pambana ila Chunya napi ni pazuri sana Kwa kazi za kuuza vyakula kama kufungua kibanda Cha Chipsy, Supu , ugali nyama choma. Hebu tumia siku tatu kusavie Chunya Kuna noumbrr nitakutumia za Huko Chunya w Kuna jamaa yangu atakuonyesha Fursa za Chunya , Ukifika mpe full detail Nini umefiata akusafue kuongoza. Yeye jitambilishe tu nimepewa no na Swahiba wako mkubwa The Gunnerz (Arsenal) Wm kupitia jamii forum , atakusafia sana nakutumia PM no yake huyo jamaa
 
Njia za kutokea ni nyingi sana Kwa Tunduma Kila siku watu Wana buni njia mpya , Ninayo Moja Sasa ninefikiria sana Hii lazima ukitumia upige Hela , hiyo Kwa majaribio lazima niuze maana imeniumiza kichwa sana kuifiria jinsi ya kufanyia kazi hiyo inabeba mzigo hata mara Sita Kwa miezi miwili
 
Anhaa ilete basi hata inbox hiyo mwanangu , ili jumamosi tukutane maeneo kufurahia matunda mzee .

Hapo Tunduma ukiwa na akili nyingi na ukayaweka mambo ya kimungu pembeni habari za Mungu hapendi aisee unatoboa .

Mzee kipodozi kina soko mikoa kumi na nne mpaka sasa kwa nilipofuatilia ila shida ni kuwa mbinu wamwela wanazidaka na wakizidaka basi wanapukutisha mpaka mtaji .

Hapo Vywawa nahisi watu wa Teeth wamejazana hapo kuwakamata wanaotoka boda , mwanangu alidakwa na mzigo wa milioni ishirini usiku wa manane mpaka navyoongea hapa , sisi wana ndiyo tunamfanya aishi maana hana senti wala makazi .

Oya magendo ni pesa ila sio kwa vichwa panzi ukiwa kichwa panzi njoo tuendelee na ajira za mama Samia hayo waachie watoto wa mtaa walio tayari kuutafuta utajiri kwa hali na mali.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Yakikushinda piga dili haramu .
Ingia hapo Nakonde beba kipodozi cha kutosha weka kwa boda ingia road ukifika Mpemba kaa waza unatoaboaje zile barrier nne bila kusahau ukifika Songwe umetoboa maana utagombaniwa na wamama wa kinyakyusa na kimalila ila uwe na hela ya kuishi na wamwela au mtafute mmwela mmoja yule vywawa hapo anaitwa G muombe ABC atakubeba mpaka mzigo unafika Mbeya mjini ila andaa kilo tatu .

Note : Hizi ni hangover sijui lolote

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app

Shukrani mkuu umetisha ila ngoja nianze na hizi legal business nikishakua mjanja hapa tunduma nitajaribu na hizo illegal business haha
 
Kufanikiwa Kwa mtu ndio Furaha yangu, pambana ila Chunya napi ni pazuri sana Kwa kazi za kuuza vyakula kama kufungua kibanda Cha Chipsy, Supu , ugali nyama choma. Hebu tumia siku tatu kusavie Chunya Kuna noumbrr nitakutumia za Huko Chunya w Kuna jamaa yangu atakuonyesha Fursa za Chunya , Ukifika mpe full detail Nini umefiata akusafue kuongoza. Yeye jitambilishe tu nimepewa no na Swahiba wako mkubwa The Gunnerz (Arsenal) Wm kupitia jamii forum , atakusafia sana nakutumia PM no yake huyo jamaa

Shukrani mkuu, nipo njiani naenda huko ila naelekea makongolosi vp huyo jamaa nayeye yupo makongolosi? nitumie namba kabisa nikifika nimcheki kaka.
 
Shukrani mkuu umetisha ila ngoja nianze na hizi legal business nikishakua mjanja hapa tunduma nitajaribu na hizo illegal business haha
Kaa karibu na bodaboda wa hapo watakupa mbinu zote au karibu na makondakta wa mabasi yaendayo mbeya mjini .

Ila usmart ndy kila kitu .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Shukrani mkuu, nipo njiani naenda huko ila naelekea makongolosi vp huyo jamaa nayeye yupo makongolosi? nitumie namba kabisa nikifika nimcheki kaka.
Yupo makongorosi ni mtu mzito , Kwa nafasi yake atakupa connections angalia PM number yake . Arakusadia sana kia ninayokuelekeza nayeye alushawahi kumpata msada lazima atakusadia kukupa muongozo nahilo ndio sharti huwa natoa ,nukifanikiwa nawewe utoe connection Kwa wenzio
 
Anhaa ilete basi hata inbox hiyo mwanangu , ili jumamosi tukutane maeneo kufurahia matunda mzee .

Hapo Tunduma ukiwa na akili nyingi na ukayaweka mambo ya kimungu pembeni habari za Mungu hapendi aisee unatoboa .

Mzee kipodozi kina soko mikoa kumi na nne mpaka sasa kwa nilipofuatilia ila shida ni kuwa mbinu wamwela wanazidaka na wakizidaka basi wanapukutisha mpaka mtaji .

Hapo Vywawa nahisi watu wa Teeth wamejazana hapo kuwakamata wanaotoka boda , mwanangu alidakwa na mzigo wa milioni ishirini usiku wa manane mpaka navyoongea hapa , sisi wana ndiyo tunamfanya aishi maana hana senti wala makazi .

Oya magendo ni pesa ila sio kwa vichwa panzi ukiwa kichwa panzi njoo tuendelee na ajira za mama Samia hayo waachie watoto wa mtaa walio tayari kuutafuta utajiri kwa hali na mali.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Lete kianzio nikupe ramani ya kutoa mzigo mkubwa kabisa wenye kujaa mabox mawili makubwa
 
Yupo makongorosi ni mtu mzito , Kwa nafasi yake atakupa connections angalia PM number yake . Arakusadia sana kia ninayokuelekeza nayeye alushawahi kumpata msada lazima atakusadia kukupa muongozo nahilo ndio sharti huwa natoa ,nukifanikiwa nawewe utoe connection Kwa wenzio

Nimeipata kaka thanks a lot.
 
Wakuu kumekucha tunduma hapa mishe kama zote tupeane michongo basi kwa wenyeji naona mnakaza[emoji3] ila mji unamishemishe sijawahi ona kama kariakoo vile, now naenda chunya makongolosi kupaangalia pia jioni nitarudi tunduma mjini fursa nitakazoziona huko nitawaambia wakuu.
Mkuu kutoka hapo Hadi makongolosi Kuna umbali gani?niwewahi kukaa hapo machimboni
 
Anhaa ilete basi hata inbox hiyo mwanangu , ili jumamosi tukutane maeneo kufurahia matunda mzee .

Hapo Tunduma ukiwa na akili nyingi na ukayaweka mambo ya kimungu pembeni habari za Mungu hapendi aisee unatoboa .

Mzee kipodozi kina soko mikoa kumi na nne mpaka sasa kwa nilipofuatilia ila shida ni kuwa mbinu wamwela wanazidaka na wakizidaka basi wanapukutisha mpaka mtaji .

Hapo Vywawa nahisi watu wa Teeth wamejazana hapo kuwakamata wanaotoka boda , mwanangu alidakwa na mzigo wa milioni ishirini usiku wa manane mpaka navyoongea hapa , sisi wana ndiyo tunamfanya aishi maana hana senti wala makazi .

Oya magendo ni pesa ila sio kwa vichwa panzi ukiwa kichwa panzi njoo tuendelee na ajira za mama Samia hayo waachie watoto wa mtaa walio tayari kuutafuta utajiri kwa hali na mali.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hapo tunduma kwann vipodozi vinapitishwa kimagendo au ushuru wa kuviingiza ni mkubwa au ni vile ambavyo havitakiwi
 
Kaka , bukheri huko nyumbani ?
Mimi nakusalimia bwana , niko kwenye kikao cha haki jinai ila sielewi nini kinaendelea hivyo imenibidi nije Jf

Nitizame kwa kideo nimevaa suti nyeusi ila shati la njano nimekaa upande wa kulia kutoka kwa Jaji Chande , mie ni wa tatu kutoka kwake .

Posho itasoma badae , je tukutane wapi kaka tufurahi maana maisha hayaeleweki kaka .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kaka , bukheri huko nyumbani ?
Mimi nakusalimia bwana , niko kwenye kikao cha haki jinai ila sielewi nini kinaendelea hivyo imenibidi nije Jf

Nitizame kwa kideo nimevaa suti nyeusi ila shati la njano nimekaa upande wa kulia kutoka kwa Jaji Chande , mie ni wa tatu kutoka kwake .

Posho itasoma badae , je tukutane wapi kaka tufurahi maana maisha hayaeleweki kaka .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Duh
 
Back
Top Bottom