Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Nataman kucheka ila NaogopaHeee kumbe we ni dume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataman kucheka ila NaogopaHeee kumbe we ni dume
Ndiyo maana makonda anapaswa kurudishwa ukuu wa mkoa au Waziri wa Ustawi wa JamiiKuna hii tabia ya baadhi ya wanaume unampa binti wa watu mimba afu unamtelekeza, inabidi serikali iwachukulie hatua Kali wanaume wa namna hii maana ndio wanasababisha tunakuwa na watoto was mitaani na mauaji kama hayo. Mpaka mama anamuuwa mtoto wake itakuwa akili yake ilikuwa imeathiriwa vibaya na msongo wa mawazo, sonona, na matatizo mengine mengi.
Kwani hiyo mimba ni andazi, kwamba unalichukua unalipachika kwa binti?Kuna hii tabia ya baadhi ya wanaume unampa binti wa watu mimba afu unamtelekeza,
Taratibu mkuu... Bado tupo njiani na Safari Ni ndefu....Kwani hiyo mimba ni andazi, kwamba unalichukua unalipachika kwa binti?
Kabinti kanaonekana kashangingi haka maana kamezaa kakiwa na miaka 19!
Most likely kalishatoa mimba nyingi hapo kabla!
Baba wa mtoto si ajabu alikimbia kuhofia kubambikizwa mimba!
Hawa watoto wafundishwe kwamba maisha ni zaidi ya kula "tunda la masihara".
Dunia itamfunza vizuri.
Daaah hapo kakosa mtoto na kazi kakosa lakini anapata makazi mapya ya jelaMKAZI wa Kijiji cha Mwenge, Kata ya Mtina wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma, Neema Athumani (24), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake kwa kumwekea sumu ya panya kwenye soda.
Taarifa za tukio hilo zinadai kuwa mwanamke huyo alitekeleza mauaji hayo Desemba 24, mwaka huu, baada ya kuweka sumu ya panya kwenye soda na kumnywesha mtoto wake Rashfod Tariq, mwenye umri wa miaka minne.
Mashuhuda wa tukio hilo walisema kuwa baada ya mtuhumiwa huyo kutekeleza unyama huo, alichimba shimo na kwenda kumzika na baadaye kutoroka kijijini hapo.
Kwa mujibu wa taarifa hizo mtuhumiwa alikamatwa akiwa safarini kuelekea mkoani Arusha alikodai kuwa alikuwa anaenda kwa ajili ya kufanyakazi za dani kutokana na ugumu wa maisha, baada ya mzazi mwenzake kumtelekeza na kukataa kumhudumia mtoto.
Akiwa chini ya ulinzi wa polisi, mtuhumiwa huyo alikiri kufanya tukio hilo baada ya kupewa masharti na mwajiri wake wa mkoani Arusha kuwa kama anahitaji kazi aende bila mtoto.
Nipashe
Akili ya mwanadamu ikikoswa spidigavana ya Mungu huwa inaenda resi hatari. "Ndugu zangu, Mungu yupo!"~ JPMDuh, 4yrs kweli??? Si angeenda nako popote kwenye usalama amuache pale malaika huyo......kazi aliyekuwa anaifuata ni gerezani.
Watoto wote -- male & femaleKama unamtoto wa kike msomeshe.
Logic sana. But, kikwazo kikubwa ni maisha magumu. Angefanikiwa huenda angetoboa huko mbeleni. Mauaji yamemgharimu. Angepambana na mwanawe, sema akimchukia baba mtoto likely amchukie na mwanawe. Mungu aepushie mbaliSasa huyo ndio angeenda kulea watoto wa mwingine vizuri kweli??kama ameweza kuua wa kwake wa kwako je? Tuwe tunawaombea Sana hawa wasichana wa kazi.
Sijajua hoja hii imekaaje!??? Ukomavu kiakili unaanzia miaka mingapi, kimfanooo!???Umri wa miaka 24 ni mdogo sana hajakomaa kiakili ndo maana anafanya maamuzi hayo.
Kumpenda hiyo kwhio!??? Kumbe huyu malaika asiye na hatia, wakati ule akingali hai, alikuwa hampendi, siyo!???Alimwambia Hawa: "Hutakufa, utakuwa sawa na Mungu". Mtu akifa: "Aaa!! Mungu amempenda zaidi, inabidi amchukue, msilie. Mnamchukiza sana Mungu mnapolialia, msipoangalia atamtupa motoni".
Ile baada ya kutonywa uongo na nyoka, hichohicho ^kisichojulikana^ akakitransplant kwenye hippocampus ya mumewe. Kwa hiyo usiwe mwepesi saaaaana kuwasingizia mahabiba (ladies) because hata hawa gentlemen (wanaume wapole!?) ni pasuakichwa & vivuruge kwelikweli!!!wanawake tangu siku wameongea na nyoka kisichojulikana sio wa kuwaamini.hata uzao wao wanaua
Mama yako alikuuwa?wanawake tangu siku wameongea na nyoka kisichojulikana sio wa kuwaamini.hata uzao wao wanaua