Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Kudhalilika ni kubaya iwe wewe mwenyewe au kwa kufanyiwa na mtu mwingine.Hapana mkuu sijamfuatilia sana, sema hizi ambazo nimeziona ni anajidharirisha yeye kwa lengo la kupata pesa SASA ni bora anayejidhalilisha yeye kuliko anayewadharirisha wengine kwa manufaa binafsi.
Na psychology says : ni afadhali kuzalilishwa na mtu au Watu wengine jamii inaweza kukuelewa Pengine umeonewa lakini kujidhalilisha mwenyewe ni kutoitendea haki nafsi yako mwenyewe .
Ni kujikatili nafsi yako mwenyewe ni Sawa na kujiua mwenyewe ambao ni ukatili wa hali ya juu sana.
Inaweza kueleweka kukataliwa na watu wengine lakini sio kujikataa mwenyewe nafsi yako.