mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Kasim Majaliwa yupoUpande wa baba yangu wote ni waislam…..
Baba yangu kaja kuoa mama ambae ni mkristo watoto wote 7 ni wakristo hakuna hata alieenda kwa baba
Mzee mwenyewe alikuwa anatupeleka mpk mlangoni kanisani hataki mtu nyumbani jumapili ila yeye hajawai kuingia kanisani
Kwaiyo sisi tumeongeza ukoo wa kikristo kwenye familia ya mzee
Ni raha na Hakuna vita wala sijawahi kusikia wakigombana kisa dini
Hao ni wazee wa zamani sijui wa sasa kama munaweza
Wa sasa jaribu hivyo msipoishia kugawana majengo ya serikali mmoja mortuary mwengine jela.Upande wa baba yangu wote ni waislam…..
Baba yangu kaja kuoa mama ambae ni mkristo watoto wote 7 ni wakristo hakuna hata alieenda kwa baba
Mzee mwenyewe alikuwa anatupeleka mpk mlangoni kanisani hataki mtu nyumbani jumapili ila yeye hajawai kuingia kanisani
Kwaiyo sisi tumeongeza ukoo wa kikristo kwenye familia ya mzee
Ni raha na Hakuna vita wala sijawahi kusikia wakigombana kisa dini
Hao ni wazee wa zamani sijui wa sasa kama munaweza
Kuhusu kitimoto inakuaje? Home Mnakula au la? Na baba akiwepo mnakula au hapana? Vyombo vya chakula navyo mmetenga vya mshua au anajichanganya tu, hata vilivyopikia na kuliwa kitimotoUpande wa baba yangu wote ni waislam…..
Baba yangu kaja kuoa mama ambae ni mkristo watoto wote 7 ni wakristo hakuna hata alieenda kwa baba
Mzee mwenyewe alikuwa anatupeleka mpk mlangoni kanisani hataki mtu nyumbani jumapili ila yeye hajawai kuingia kanisani
Kwaiyo sisi tumeongeza ukoo wa kikristo kwenye familia ya mzee
Ni raha na Hakuna vita wala sijawahi kusikia wakigombana kisa dini
Hao ni wazee wa zamani sijui wa sasa kama munaweza
Hakuna kesi hapo kama anataka akili kuwa alichepuka na muislamu mwezieWatoto wote Wawili wanatumia ubini wa baba yao na Kabila ni baba yao.
Wanawake naomba mjifunze kitu hapa, otherwise wale wahuni wa Kataa ndoa watazidi kupata ushindi mkubwa.
Mpaka Hapa Che Che Che TayariNatabiri huu uzi mbeleni utakua ni vita ya Waislamu dhidi ya Wakristu.
Vita ni Vita Muraa!!😂
Pointttttt✌️✌️✌️✌️✌️!Umeonyesha udhaifu mkubwa sana kwenye huu uzi.
Ipo hivi, mume ndio kichwa cha familia na kama hivyo basi mke anapaswa afuatane ama aambatane na mume wake.
Yaani ndani ya nyumba mke na mume wanaweza wakajadiliana jambo, lakini mwisho wa siku mume ndio anabaki kua mtoa maamuzi ya mwisho.
Ingekua mimi ndio wewe ningewaambia mke afuate kile anacho kisema mume, kama anaona ngumu basi ningewashauri waachane kwa amani tena kisheria/kwa maandishi
Kuishi mkiwa Imani moja Inapendeza zaidi asee!!mm naona watu wasijaribu tu Kuishi mkiwa dini tofauti labda mmoja amfate mwenzie moja Kwa moja
Kabisa!Kunafamilia hazina masihara
Nilipata mchumba wa dini nyingine mahari ilirudishwa yani ulikuwa ugomvi sio mdogo kilandugu alikataa kupkea tukaambiwa Hadi jibu litoke inafungwa ndoa Kwa dini ipi niliona naonewa mno ila mwisho nikajua Kuna matashiti ya kutosha kwenye ndoa za aina hiyo Bora uwe. Na subra tu olewa na oa wa dini Yako
Kwenye ada ndo mke anatambua watoto ni wa baba, dah😀Nitaandika kwa kifupi tu, kuna case nimeshindwa kuipa suluhu nimeitwa kuleta amani kwenye nyumba ya hao wana ndoa.
Wewe ni mwanamke muislamu olewa na mwislamu mwenzako, na kama wewe mwanaume ni Mkristo owa Mkristo mwenzako.
Issue ni ngumu, Mkristo kaka mwanamke muislamu kipindi mahaba ndindindi, Sasa ndoa imejibu Watoto Wawili, mwanamke wote anadai ni Watoto wake na wote wanapenda madrasa za kiislamu.
Sasa sitaki mada hii iwe ni mihadhara au jukwaa la kukashifu dini nyingine, nimeweka hii mada ili kuitwa ushauri wa bure.
Ikiwa mwanamke na mwanaume mmekubaliana kuweka dini zenu pembeni na mfunge ndoa bomani basi jitahidini na swala Watoto mkubaliane wakizaliwa wafuate imani gani au mgawane vipi urithi wa imani kwa Watoto na kwa hali ya Sasa muandikishiane kisheria ili lisilete tabu baadaye.
Nawapenda sana Mama zangu na Dada zangu lakini ukweli uko wazi wao ndio tatizo, wanaume huwa hawana ligi za kijinga.
Nimewashauri acheni Watoto wakiwa adult wachaguwe imani wanayotaka ila mke wa ndoa anasema Watoto ni wake, ila kimoja kipengele cha school fees mke ndio anatambuwa kama Watoto wana baba.
Nimehairisha hii case namuomba Mungu anipe busara sijui muhafaka utapatikana vipi? Inasikitisha sana Watoto wadogo kuwaharibu kisaikolojia kurithi dini za wakoloni.
Kwakweli mnaotegemea kuowa au kuolewa na watu wa dini tofauti msilipuuze hili muandikishiane kwa Wakili kama mlivyofunga mkataba wa ndoa serikalini.
Wacha nipate kwanza lager zinipe hekima kulimaliza.
😃Nitaandika kwa kifupi tu, kuna case nimeshindwa kuipa suluhu nimeitwa kuleta amani kwenye nyumba ya hao wana ndoa.

Kabla hatujatongozana tuoneshane na vyeti vya kuzaliwa😂😂😃
Hili litazamwe kwenye katiba mpya
Ubini sio Imani ni kwelihata wakitumia ubini so what? Imani ni kitu tafauti kabisa