never Se me
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 702
- 1,009
Snoop akionesha ishara za crips gsng
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si kweli hawa jamaa wana haki ya kuwa juu maana ukisikiliza hata nyimbo zao unaona kwamba zinaelimisha jamii na kukomesha ubaguzi wa rangi...na kitu kingine walikua OG's...ukilingamisha na nyimbo za siku hizi na marapper wa siku hizi kama kina lli pump, tripple redd, lil xan na wengine wanaimba ujinga tuu na kujipiga tattos mili mzima na kuvaa kishoga shogaBinafsi naona hawa jamaa hawastahili kuwa kings of hip hip, vifo na media ndio vimefanya wawe overrated ila ndo kwanza walikua wanaanza kuishika game sidhani kama wangekua hai hadi leo wangekua respected sana kama ilivyo sasa. Wewe unaonaje?View attachment 1137104
Kuanzisha kitu haina maana we ndo the best kwenye hicho kitu amini mfano Ali kiba na Diamond hawajaanzisha bongo fWanaonekana kama wao ndo the origins wa hip hop kitu amabacho si kweli.
Sifa zake apewe tu. Kuna msemo mmoja wanasema vitapita vizazi na vizazi ila generation ya pac na biggie itakumbukwa siku zotePac kafa na miaka 26 tu... wewe mtoa mada katika hiyo age ume achieve kitu gani!? Yaani hapa najaribu kumuelezea pac kidogo..
Nimekuelewa mkuuKidogo mkuu
Shukrani mkuu.
Unamuongelea tupac wa kwenye movie wewe tafuta interviews zake youtube uone jamaa alivyokua kichwa katika umri mdogoTupac was the best kwa kweli japo si mpenzi wa hip hop ila nikisikiaga nyimbo zake zinanibamba, ila kitabia aisee ingekuwa ni hapa kwetu tungesema alilelewa uswahilini, alikuwa na uswazi mno
Tupac aliwah kumdis jayz tafuta fvck jayz alikua anamuita nigga with big lipsJiggah mwenyewe anakuambia yeye kwasasa ndo King kwasababu Biggie is no more. Means anatambua Biggie was a King.
hiyo sio justification.Tupac aliwah kumdis jayz tafuta fvck jayz alikua anamuita nigga with big lips
hiyo sio justification.
ewaaahiyo sio justification.
Tupac alikua na beef na jigga jigga hawez kumtambua pac kama mfalmehiyo sio justification.
Apa big anajikomba komba kwa Tupac
Na ikumbukwe kuwa Jigga alirudia ngoma ya PAC - ME AND MY GIRLFRIEND
Tupac alikua na beef na jigga jigga hawez kumtambua pac kama mfalme
wewe pia ulikua na beef na Pac??Tupac alikua na beef na jigga jigga hawez kumtambua pac kama mfalme