Tupac na Biggie wanakuzwa mno

Tupac na Biggie wanakuzwa mno

Snoop akionesha ishara za crips gsng
2pac.museum-20190625-0001.jpeg
 
Snoop Na Tupac but snoop akijionesha kuwa yeye ni crips Ila Tupac akuwai kuwa kwenye gang yoyote
trapmeskeni-20190625-0001.jpeg
 
Binafsi naona hawa jamaa hawastahili kuwa kings of hip hip, vifo na media ndio vimefanya wawe overrated ila ndo kwanza walikua wanaanza kuishika game sidhani kama wangekua hai hadi leo wangekua respected sana kama ilivyo sasa. Wewe unaonaje?View attachment 1137104
si kweli hawa jamaa wana haki ya kuwa juu maana ukisikiliza hata nyimbo zao unaona kwamba zinaelimisha jamii na kukomesha ubaguzi wa rangi...na kitu kingine walikua OG's...ukilingamisha na nyimbo za siku hizi na marapper wa siku hizi kama kina lli pump, tripple redd, lil xan na wengine wanaimba ujinga tuu na kujipiga tattos mili mzima na kuvaa kishoga shoga
 
Wanaonekana kama wao ndo the origins wa hip hop kitu amabacho si kweli.
Kuanzisha kitu haina maana we ndo the best kwenye hicho kitu amini mfano Ali kiba na Diamond hawajaanzisha bongo f
Pac kafa na miaka 26 tu... wewe mtoa mada katika hiyo age ume achieve kitu gani!? Yaani hapa najaribu kumuelezea pac kidogo..
Sifa zake apewe tu. Kuna msemo mmoja wanasema vitapita vizazi na vizazi ila generation ya pac na biggie itakumbukwa siku zote
 
Tupac was the best kwa kweli japo si mpenzi wa hip hop ila nikisikiaga nyimbo zake zinanibamba, ila kitabia aisee ingekuwa ni hapa kwetu tungesema alilelewa uswahilini, alikuwa na uswazi mno
Unamuongelea tupac wa kwenye movie wewe tafuta interviews zake youtube uone jamaa alivyokua kichwa katika umri mdogo
 
Kwa 2pac na Big umechemka hao ni hatar sana
 
Hahaha jamaa alikuwa mnada nanda sana kwa pack -- alikuwa ana muomba mpaka amsaidie ili muziki wake u-julikane kwenye main stream ..Lakini baadae akajifanya kumvimbia pack
Apa big anajikomba komba kwa Tupac

 
Huwa PAC ananikosha sana na kibao chake cha California Love..hakichoshi masikioni
 
Back
Top Bottom