Tupatiane True Story yoyote ila iwe Fupi na Precise

Yupo wapi Sasa hivi
 
Yupo wapi Sasa hivi
Yuko Chunya anaplant huko anafanya shughuli zake .Aliniambia kuanza sasa hivi uncle nimechoka kutumwa nakuulizwa maswali kuanzia asubuhi mpaka jioni ,maswali tu.Halafu watu usiku wanafikiria matatizo mimi asubuhi nitafute masuluhisho.Naacha kazi.Na kweli akaacha .Tena kipindi hicho anakunja karibu m3 .Ila base yake ipo Mwanza .
Oiiii.
 
Miaka ya 2005 nilikuwa natoka tuition na wenzangu sasa kwenye kuvuka barabara wakaniacha nyuma, kulikuwa na kimteremko alafu kulikuwa na baiskeli inakujaπŸ˜‚, wenzangu wakaniambia vuka tuu ipo mbalii ile navuka tu baiskeli nayo imefikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nikagongwa na baiskeli bwana.

Ninachoshukuru sikuumia zaidi ya kupata michubuko midogo mdomoni, basi kwenye zile purukushani za kuamka watu kusogea sogea,kuna rafiki yake mama alisogea pia na alikuwa nesi akaniokota akanipeleka kwake akanisafisha tu kidogo nikaenda nyumbani. Nilivyofika nyumbani nikadanganya nimeanguka tu.
 
Kweli maisha yana Siri
Usimdharau mtu wala kumkatia tamaa
Mungu azidi kumtunza
 
Kariakoo juzi Kati jamaa nikiwa nimebeba kibegi mgongoni jamaa akanifuata kwa nyuma akawa anafungua zipu kwakua Mimi ni mafia / ninja / mbabe/ zee korofii/ mtukutu wa nyaigera e.t.c

Nikageuka fasta nikashika mkono ukiwa kwenye begi nikamwambia kwa kumaanisha ntamalizana na wewe hapa hapa chap chap
NTAKUTOBOA MACHO sasaivi na mtu yeyote asijue.
Jamaa likawa linatetemeka na nikaliacha linaondoka kwa fadhaa kubwaa sanaa
 
Ungelipiga za uso
 
Huenda ni Ms Corridor alikua anafanya yake
 
Inashangaza! Mi nami nilishangazwa na ndege mmoja kudandia mwewe angani na kubebwa mgongoni wakatokomea kusikojulikana. Kuna siku natembea kando ya ufukwe ghafla mwewe akatua kichwani kwangu bila kuniogopa, nikamtimua aruke, ila hakunijeruhi.
Kuna MWEWE na KUNGURU

miguu ya MWEWE ni zaidi ya KISU kikali Sanaa..
 
Duh aiseee tabia mbaya sana aliyowafanyia jamaa
 
Bila machale Apo tayarii kingekuwa TATIZOOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…