Tupatiane True Story yoyote ila iwe Fupi na Precise

Kuna jamaa yangu ni mtu wa kufuga fuga .Basi alikuwa analalamika ana uhaba wa njiwa weusi .Kuna jamaa akampa kimzizi aweke kwenye maji wanayokunywa.Aisee kila njiwa wakitotoa ni weusi balaa.Mbona alikatupa mwenyewe.
 
Kuna jamaa yangu ni mtu wa kufuga fuga .Basi alikuwa analalamika ana uhaba wa njiwa weusi .Kuna jamaa akampa kimzizi aweke kwenye maji wanayokunywa.Aisee kila njiwa wakitotoa ni weusi balaa.Mbona alikatupa mwenyewe.
🤣🤣 Kanini hako tena mkuu
 
Bruh 😂👊 ukimwambia kuwa ?
 
🤣🤣🤣
 
Nakumbuka kipindi nimeanza form one nimefika shule basi tushamaliz admit wazee wanaondoka nika wa hug fresh tuu..... Nimekaa km dk kumi najikuta natokwa na machozii tuu aaani mpaka nikawa najiuliza mwenyewe

Nimeenda bwenini hapo nshazoea mazingira ya shule sasa, jioni moja tukiwa prep kiongozi wa taaluma akasema kesho nahitaji watu wa kutoa morning speech

Basi nikawa shortlisted..... Kesho yake mimi huyo.....

Good morning school......

Assembly::: wanacheka sana Tena sana i was funny aseeh yaani nilikuwa nikisimama au nikishika maiki yaani wanafurahi sana ......

Siku moja tushazoeana na washikaji nywele ndefu navopenda nywele ndefu sasa wakniambia njoo tukupunguze Mimi nikakubali

Kesho yake ticha mmoja kaniona akaniuliza Kwan mbona uko hivi kichwani umejiona ?

Nikamjibu::: ndiyo

Nani kakunyoa nikamwambia sijui nimejikuta asubuhii niko hivyo



Kisa kingine

Jamaangu mmoja akawa ni mtu wa dini ya kiislamu basi akawa anaweka hela kwenye msahafu akiamini atakayeiba atapatwa na masahibu

Ngoja aamke asubuhii akute msahafu hakuna na hela hakuna

😂😂😢......
 
Umetuchoka
 

Attachments

  • downloadfile-11.jpg
    66.3 KB · Views: 4
Mwaka 2018 nikiwa form five nilinaswa na kiongozi mkuu wa shule nikiwa na simu. Hiyo ni baada ya kuwa ilitangazwa kwamba students wote tusalimishe simu zetu. Mzee mzima nikakaza sisalimishi simu. Miezi karibu 5 hivi snitch akanichomea utambi Kwa leader kua nna simu jamaa akaweka mtego nikanaswa nayo. Adhabu ilikuwa suspension wiki 2 istoshe kihomeboy mbali. Nikapelekwa Kwa second master asiye na ajizi nikiwa na simu yangu nikajua nitafukuzwa. Ajabu ticha akanisifu akiniambia Kwa vitisho mkwara na mteru niliowapiga dogo Baki na simu yako. Leader usimguse dogo. Nikashangaa sana
 
🤣🤣😁🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣😋😋😋

Mizimu ya nyumbani ilikuwa na ww
 
Katika kuvimbiana na muhuni mmoja nikajikuta nimemkata makofi.
Alivyopanic tu akili ikaniambia toa kitambulisho Msogezee Machoni kabisa huku ukimwambia anajua wewe Ni Nani ?

Jamaa Alikuwa hajui kusoma cjui au hakuona vizuri kutokana na ule ukaribu wa kitambulisho na njicho.

Angejua kilikuwa kitambulisho Cha The Amazon College angeniua siku ile.
Me fala Sana unajua.😂
 
Hahahahhahah

Aiseee nimecheka bure 🤣🤣💪🏿🤣💪🏿💪🏿💪🏿
 
Ulifanya technique bora kabsia
 
muongo.stori haina mbele wala nyuma
 
🤣🤣
 
Hii ni chai wakati mwanzisha thread kasema zile za kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…