makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Sisi tulimtunga jina la fremason maana ukimtaja tu huyu hapo kashafika afu ajulikani katokea wapi.. yule mzee alikua anakariri hadi mabegi ***** waliokuwa wanaenda don bosco watakua mashahidi wa hili...kosa lolote jiandae kwa 6 alitutesa sana kwa rokooo zake yule mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukipata muda umalizie coz this guy alikua na lifestyle amaizing Sana ...R.I.P cowbamaHaha the guy was real nigga, kipindi hiko ndio ametoka Dodoma yupo na washkaji wanakuja kujazana kwa Evans Kijitonyama. Evans alikuwa na ofisi ya kupigisha simu nyumbani kwa mama Nangwale opposite na ilipo Hotel ya KD (Kassim Dewji) Kijitonyama.
Hapo miaka 2000's ndipo harakati za mziki zimekolea free style kwa sana mpaka vijana wakuchipukia (sisi) tukitoka tu mashuleni tunaenda kushinda kijiweni hapo.
Nancy kipindi hiko ndio mrembo kupindukia tunashindwa kumsogelea. Mangwair alikuwa simple sana, hana makuu, bangi kwa sana.
Muda wa kujiandaa kwenda ofisini
Nitamalizia...
Cowbama alipiga kimasihara dada wa rafiki yake.Hiki ndo kisa Cha kugombana na Evancy aliponikuta Ghetto na mdogo ake Nancy_ CowObama
Kilimanjaro mimi nimesoma kuanzia darasa la kwanza hadi la 7. Mwalimu wetu wa kingereza anaitwa macha kama sija sahau.Mbona hutaji maeneo.. Tunda kasoma kilimanjaro adi darasa la nne akahama.. Sasa wewe unakataa lakini husemi amesoma wapi..
Yap!! Kabinti kale keupe keupe kadogo changu cha mtaa na Samagoal wamebarikiwa kupata watoto wawili
Jangwan mojaNimesoma na kundi la wadada wenye ulemavu (wanaimbai) ingawa kwa Sasa kundi kimevunjika nawaona wapo kwenye band tofauti.
Nimesoma na madame sophy huyu Ni maarufu ila si mwanamuziki.
..benpaul nimeonana nae Sana pale mchikini kalikuwa kapole.
Sent using Jamii Forums mobile app
hii lazima pale majani mapana TangaP.M PETER MSECHU...JAMAA ALIKUWA NA VITUKO BALAAAA.MCHESHI SANA.COFIDENCE BANDA.MTU WA WATU.ALIKUWA MAARUFU SHULE NZIMA
Teh teh teh!!
Y Thang alikuwa Kwanza Unit. Solo Thang hajawahi kuwa Kwanza Unit.Fid alimaanisha nini katika mwanza mwanza! Au y thang alikuwa katika kundi ndio kisha akaja kuwa solo artist!?
Basi mie siku zoote hizi najua solo thang alianza kujiita y thang kwanza!
π π πKISA CHA ASLAY KUCHEZEA BAKORA
By Sangu J
Mimi nimesoma na Aslay Isihaka pale Tandika Sekondari lkn nilimpita darasa moja Mimi nikiwa form three yeye alikua form 2.
Sasa wakati Ngoma yake ya naenda kusema Kwa Mama inatamba full kupata interview kwenye media kama zote, alienda kwenye Kituo kimoja cha radio nadhani ni Clouds FM sasa alitamba Kwamba siku hizi Shule hachapwi wala Viongozi wa Shule hawampi fagio akafagie.
Basi Jumatatu yake baada ya kufika Shule akakutana na Kiongozi (Kiranja) mmoja alikua anaitwa Theodory Mwingira alisikia Yale mahojiano basi jamaa hiyo siku alichelewq kufika Yule mshkaji akampa adhabu akazoe takataka kwenye eneo lenye nyasi nyingi na afyeke.
Basi Dogo Kwa kuwa ni Star alijifanya anaingilia huku anatokea huku (Kiufupi anamkwepa) basi Yule Dogo akaenda kusema Kwa Mwalimu mmoja alikua anaitwa Likalambile anafundishq Mathematics Hatari na kama mnavyojua Walimu WA mathe wanakuaga wakali sana basi Aslay aliitwa na Yule Ticha alipigwa bakora mpaka aliamua kwenda kuruka ukuta wa Shule Kwa bakora za Yule mwalimu.
Ikawa bonge moja la Stori Shule nzima Aslay kachezea kichapo tena Yule Mwalimu alimpiga akimwambia Nenda kaseme kwa Mama.
Kupata Stori nyingine nicheki Instagram na Facebook sangujoseph
Sent using Jamii Forums mobile app
Sita kwake ilikuwa ni costant K, kabla ha maongezi! Kuna madogo walikuwa wanatorokea docho kule nyuma kwenye bonde la msimbazi! Mzee akawahi kuchukua gari akawazungurukia barabarani! Ile wanaibuka tu pale katika showroom ya magari ile wanakutana nae uso kwa macho!!
Ngozye alifelisha wakamdimoti nyeburu sec baadae akapelekwa Zanaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngozye alifelisha wakamdimoti nyeburu sec baadae akapelekwa Zanaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanzanians umenikumbusha Robert mwingira mtoto wa obay(RIP)Y Thang alikuwa Kwanza Unit. Solo Thang hajawahi kuwa Kwanza Unit.
Sent using Jamii Forums mobile app