Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Sisi tuliosoma MAKONGO SECONDARY (TPDF) hasa miaka ya 2000s inabidi tuanzishiwe thread yetu maana orodha ya wasanii na celebrities wengne ikiongozwa na HASHEEM THABEET tulioskonga nao ni ndefu sana
Mbona ipo mkuu
 
Huoni hata aibu kusema ulilia Sana?[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji23]mkuu, tiny white wakati mnakunywa nae chai kitaa , alikua na ujinga wake hivi hivi ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
DPT lilikua kundi unasemaje kua umesoma na DPT utadhani ni alikua rapa mmoja?au ni typing error ulitaka kusema umesoma na member wa DPT?
 
Ebhana tapa square ni marehemu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngozye, kazimgua sana yule mzee. Alikuwa teacher tu wa fine art, anapiga mihuri enzi hizo.
Kuna jembe wakina KWAYU, Second Master ticha Mkongo, nilikuwa namkubali sana mkongo. Tuje ktk mada, pale kina ben paul walipitaga pale bishooo flani hivi. Majanja wakina Baghdad etc.

Ila kitengo, waaache waitwe kitengo. Kitengo kuna siku wamewahi kulizua na police, police waka titiririsha wadau wakakimbilia chimbo kule school uwanjani, aka KIMTI ZERO, kuna kokoto za kutosha story ikawa ingine.

Teka sana watoto wa Zanaki, Walikuwa na hostel zao pale school, Jangwani hadi wakaona wazibe geti linalo unganisha Aza na Jangwani.

Kuwa waziri wa ulinzi au kiranja mkuuu. Lazima huwe mbabe au wa figisu nyingiii.

Kuna siku, katk kota za Maticha, washkaji waliingia dirishani usiku, wakaiba Tv, Dvd player, wakapeleka dormitory, wakawa wanaangalia porn, [emoji3].

Shout out kwa wana Zinde boy, ngumi nzito, RIP kwa dogo Justin.
 
hahaha mkuu inaonekana uliingia kipindi kwayu hayupo maana kwayu alikua hakuzuii kuinhia au kutoka shule muda unaotaka ila anachotaka ufaulu na hapo ndipo wabafunzi wa azania wakawa ni watu wa kujitafutia sana and thats performance ikawa juu ila baada ya kwayu kuondoka overall performance ya school ikaanza kushuka to date, chavila was smart ila alishindwa kuendana na legacy aliyoiacha kwayu ila ngozye ni jau la maaana haha

kuhusu kung'oa haha azania ilikua chata sana nakumbuka siku moja naenda kigamboni wanafunzi wanazuiwa kuingia lakini mimi konda aliniita mwenyewe akisema "wewe dogo wa azania njoo upande"

amsr.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…