Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

hahaa.. Msingi kitopeni primary na secondary shambalai sec aliishi kota za utondolo. Kidevu alikua mjuaji sana
Cheen bees kasoma shule ya msingi Toronto. Sekondari kasoma Mkalamo secondary school, hapo hakumaliza alifukuzwa kwa utovu wa nidhamu. Huko shambalai alikwenda baada ya kufukuzwa Mkalamo sec na mwl kimbute.
 
Wewe ni mtoto wa Msalilwa, Mazege, Myovela, Magese, Feudal au Sanga? Ha ha ha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkongo alikuja kuwa headmaster kisarawe lutheran junior seminary kaiba sana ela kule now nasikia ana shule yake......
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah kweli mzee unakumbukumbu hilo kundi Zamba alikuepo kwa kuwa alikua na nyota ya kupendwa na ule usanii ila walijitenga wakishua tupu...ndio walimpiga manzi yule madam Gonda alilia sana baada ya kupata hizo taarifa..

Dah matukio mengi sana ilifika kipindi siku nisipoenda shule amani sina najiuliza kuna nini kimetokea leo...wakati niko Azania kidato cha Nne kwa takribani nusu yote ya form 4 sikuwahi kupanda dalala nyakati za kurudi ilikua lift na ngondi sometime usafiri ukiwa shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo nyakati nilizikutana mwanzoni mwa kidato cha kwanza baada ya hapo ikawa histori shule ukiingia kama upo jehanam
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ben Paul alikuwa maarufu kwa sisi tuliokuwa tunakaa hostel na wale waliokuwa hostel za jangwani kwani alikuwa akituimbia nyimbo Aza-Jangwa! ila kama ulikuwa day ilikuwa vigumu sana kumjua.
 
Nimesoma shule ya msingi na sekondari na martin kadinda yule mwanamitindo.na tumewahi kupata ajali ya gari pamoja tukiwa tunaelekea kanisani.miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najiuliza ibrahnation anakwama wapi? (kama wewe tu)..
Huyu jamaa nna nyimbo zake zoteee..
 
Jack chain nilikuwa nae Shanghai miaka 90 nilipoenda kumalizia masomo yangu,Huwa nawasiliana nae sana wechat....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…