Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Hahaha man tapa na pengo watoto wa buza hao nishakula nao sana wider kipindi hicho,tapa alikuwa msanii mzuri alikuwa na bifu na baghdad kwa kumuibia nyimbo yake,pengo nahisi alikuwa na kizizi yule jamaa maana alikuwa mwili wa kawaida ila ni ngumi jiwe! Alishawahi kumpga konda ngumi konda akalala chaliii kama kafa!! Daah nakumbuka mbali sana asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka enzi hizo nmesoma na sterio enzi hizo tulikuwa tunamuita ng'ombe alikuwa anatukusanya afu anatuchania mistari, mwingine ni dogo songalaeli mwagelo a.k.a songa,enzi hizo tulikuwa tunakaa nae sie tukiwa form 4 yeye akiwa form 1 dogo alikuwa anajichanganya na wahuni wakat tunakula wider yeye anadondosha free style..wakat namaliza akaniombaga suruali yangu nimuachie...daah kitambo sana,mwingine ni ben paul yeye alikuwa anaimba imba tuu kwaya kwny vipind vya dini... walimalizaga wote intek moja na sterio... nmekumbuka mbali sana japo kuna mr blue byser yeye wakat tunaingia alikuwa ndo katoka kuacha shule so nilikutaga tu stry zake.....,wa mwisho ni mtangazaji wa azam tv fatma abadllah chikawe tumekula nae sana miogo pale uwanja wa mwiba pale kkoo siku za mechi na shule jirani....
Wa mwisho kwa leo ni young d young darisalamaa,dogo kasoma kitunda secondary ndo kamaliza form4 pale,ilaalipanga geto kitaa changu,dogo alikuwa anamoker na kugonga mtonjii a.k.a gongo sijawah kuona, tulikuwa tunakaa maskani moja tunavuta wider na smtym kama pusher kafata mzigo alikuwa anamuachia kitengo dogo D anatubania kete kisela au smtym tukishatembezeana round kadhaa dogo anatuchania mistari na kipknd hiko ndo alikuwa kwa lamar enzi za nyimbo ya teacher.... long time sana japo nw nishachange situmii kilevi chochote kile nmeamua kumgeukia Mungu..ila mapito tumeyapitia sana..
 
Stamina[emoji41] pale Bungo primary school

Alikuwa anapenda sana mpira ule wa kichungwa [emoji36][emoji36][emoji36],,

Ila mm nlikuwa straiker wao [emoji21][emoji21][emoji21]

Kikosi cha shule tulikuwa tunapanga sie



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengo alikua mtata kiseng** afu ukimuona hutaaamini ana kamwili cha kitoto siku moja pale faya alilianzisha yeyena Godzilla aise ilikua noma...ukija A level kulikua na mkuria mmoja hivi jina limenitoka alikua tolu afu mwili jumba alizingua sana watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha kumbe makaveli ni team chaputa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…