Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Mlikuwa na headmaster wenu mkimkorofisha anaenda kuwaweka selo ya pale superstar karibia na mgahawa..[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah pole
Utatoboa tu zidi kupambana,hata km sio kwenye music

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma na Mheshimiwa Sugu shule ya Msingi Ligula,Mtwara.

Tukiwa darasa la pili tulikaa dawati moja na alikuwa ni rafiki yangu sana,tukitoka darasani muda wa saa tano tunakwenda nyumbani kwetu Ligula B tunachota korosho kwenye debe(korosho first grade za kutoka kiwanda cha korosho Likombe ambazo huwa zinauzwa nje ya nchi) tunaweka kwenye mifuko ya kaptura tunakula baadae anakwenda nyumbani kwao kiyangu.

Alikuwa anajulikana kwa jina la Joel.
 
Kundi la East Zoo halikuanzia K'nyama, lilianzia Dodoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dogo sio maarufu ila anajua sana.Sijui anakwama wapi?. (Diamond platnumz alishawah kuuliza hili swal)

IBRANATION

Huyu dogo nilimuacha darasa la 5 pale Ilala primary school Iringa.Enz hizo mkwawa high scul bado hakijawa chuo.Alikua dogo mpple na mtaratibu tu.mama ake alikua ni frnd zake sana na maza.Bro ake anaitwa athuman (last time nakugana nae kitambo kidogo kabla sijaondoka iringa alikuaga Diwani).huyu bro ake athuman alisoma na Bro angu mmoja.Alikua na dada yake anaitwa Zaina huyu alisoma na bro wangu first born.
Mama yake (almaarufu kama mama zaina) nae alishakuaga diwani mtaa wa Kajificheni.
Dingi yao (Mpogole) alikua dereva wa malori

 
Sikusoma na Izzo B ila alikuwa Mwana sana alikuwa family ya kawaida nampongeza kapambana sana Namjua tangu anaanza yeye kama yeye kwa kipaji chake from 0 zero to hero kwa kusaidiwa na Marehemu Mbuzax na Quick Racka aka Aboti huyu Tuna undugu kidogo yeye Mtoto wa kishua hajasota chochote enzi hizo Mbeya ukitaja watuma salaam maarufu unatutaja Sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…