Sheikh23
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,175
- 1,934
Nime_scul na NW Juliana Shonza_Kibasila Secondary, Chang'ombe Dsm
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena Mazengo sekondari na wakaacha machata yao mule.
Mbeya Day mbona ndiko alisoma,au ni Sugu yupi?NIMESOMA NA MR II ,SUGU Primary ni LIGULA PRIMARY .Mtwara mjini kisha Sekondari ni SABASABA PIA YA MTWARA. Jamaa alikuwa muhuni wa kiasi tu alikuwa anapiga ENGLISH kinoma kipnd hiko Kitaa tunamwitaga MAY...
Sent using Jamii Forums mobile app
Barnaba ila Acha kudanganya uma kuwa ulifika sec tena siku ya mtihani wa Taifa ukatoroka ili kwendavkufanya odition THT, niongo wapo wanaokujua ambao ulisoma nao mkwawa Premary kigogo
Wanasema shule yenyewe uliacha Kati hukumaliza ndg
Ila Ruge alikupika na akakupanga ukiwa maarufu sema hivi kuhusu Elimu yako ili kulinda heshima
Wasanii acheni uongo kuhusu Elimu zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Piere ni star kuliko hata uyo kituga[emoji1787][emoji1787][emoji23]star kuliko Piere Liquid?
Ushoga alianza lini?Nimesoma shule ya msingi na sekondari na martin kadinda yule mwanamitindo.na tumewahi kupata ajali ya gari pamoja tukiwa tunaelekea kanisani.miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati anauza vitu vya promosheni, au anajifunza ufundi chereani jina bado hapo.Nimekaa na wolper kitaa kimoja Knyama Alimaua enzi hizo kabla hajawa staa, Alikiba alikua anakuja kujilia vyake karibu kila siku dah! Enzi hizo walper alikua anajiweka kitom boy tom boy.
Jamaa katafuna sana paleNimekaa na wolper kitaa kimoja Knyama Alimaua enzi hizo kabla hajawa staa, Alikiba alikua anakuja kujilia vyake karibu kila siku dah! Enzi hizo walper alikua anajiweka kitom boy tom boy.
Sugu maarufu kwa jina la May,kiyangu alikua anakaa kwa mama ake mdogo au shangazi yake Mama Rungu,Sugu msela kitambo sana tangu yuko mdogo halaf always alikua na dream kubwa kuliko umri wakeNimesoma na Mheshimiwa Sugu shule ya Msingi Ligula,Mtwara.
Tukiwa darasa la pili tulikaa dawati moja na alikuwa ni rafiki yangu sana,tukitoka darasani muda wa saa tano tunakwenda nyumbani kwetu Ligula B tunachota korosho kwenye debe(korosho first grade za kutoka kiwanda cha korosho Likombe ambazo huwa zinauzwa nje ya nchi) tunaweka kwenye mifuko ya kaptura tunakula baadae anakwenda nyumbani kwao kiyangu.
Alikuwa anajulikana kwa jina la Joel.
Underground acha tu, kuzaraulika, mi sina hamu, nimekata tamaa wakat water kaniita anisaidie, nyege zote ziliniisha.Adam mchomvu - akiwa fala pale mbeya fm. Anajiita tall wa ajabu katufanyiaga za kutosha, mc kwenye mashindano ya underground kupiga story ilikuwa sana.
Izzo B, tangu yupo sangu tunakesha studiobeya rekods, anarekod wimbo wake wa kwanza "pisha nipite" analeta geto tusikilize, huku tunakula mjani
Dumelang
Maisha ya chidibenz yalikuaje kipindi hikoNami nichangie huu Uzi! Shule ya msingi nimesoma na Happy Magese ( aliwahi kuwa miss Tz) Shule inaitwa Kiwandani kule Mtibwa, alinizidi madarasa 5 ! Alikuwa anacheza sana Netball! Sekondari - Mafinga sec siku hizi inaitwa JJ Mungai nilisoma na Rashidi Abdala Makwilo a.k.a Chidi benz mtoto wa Ilala! Pia mkuu wa wilaya ya Kinondoni Daniel Chongole tulikuwa nae Mafinga sec!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nimesoma na mdogo ake Millard ayo...umbwe sec - moshi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeajuaje mzeeKapiga sana, enzi hizo wolper ni mzuri hanuki mdomo tofauti na sahiv kawa waajabu mpk ananuka mdomo.
Jamaa alikuwa mpole sana huwezi amini na kauzembe fulan hivi alikuwa nako! Sema mambo ya kuimba na kurap yeye na wenzie waliokuwa wanatokea Dar walipenda sana! Kitambo sana miaka ya 2000 mwanzoni hiyoMaisha ya chidibenz yalikuaje kipindi hiko
One love
Abdul Mohammed alikua GS bora zaidi Azaboy na alikua anatangaza EATV wkt yupo shule akaja kupata deal BBC London...nilimkuta akiwa form 4 wakati naanza form 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Asa sii walifundishwa pale THT kutunga na kuimba na pia lengo la THT ilikua kuchua wale wanaotoka ktk mazingira magumu na kuwapa juzi mbalimbali hivyo ilikua haijalishi una Elimu ya form ngapi ama laa lengo ni kukufundisha kuimba na kuigizaMkuu standard seven drop out anaweza kutunga mistari kweli?
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧