Bashara ya umachinga Haipo hata kwenye mitaala ya elimu imejizukia tu bila utaratibu, biashara gani!
Mtu anamaliza shule badala ya kubuni biashara anaenda kushika nyembe,dawa za mswaki,sabunni
Tuache ukilaza jama, shida zako zisihalalishe uvunjifu wa sheria.
Fuata misingi ya kufanya biashara.
Serikali ikidhibiti wimbi la umachinga hata ubunifu na uzalishaji utaongezeka.
Umachunga ni matumizi madogo ya ya akili, watu wnataka mteremko hawataki kuumia.
JPM mwenyewe alitumbua vyeti feki na waliojengga mabarabarani machinga wao nani ?
 
Sheria ipi iliyokuwepo na wameivunja Machinga?
 
Wewe si unasubiri kuliwa tigo upewe hela za kutanua mjini, huwezi kuelewa hustles za wanaume wanaopambana kutafuta maisha kwa jasho.

Endelea kupiga picha makalio uzirushe instagram watu wajilie vinyesi.

Wacha kazi iendelee...
Hili dongo limekaa kibabe sana yani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwahio aendelee kuuza mtambo wa nnya
 
We unazungumzia kupangishwa barabara? Kuna maza alinunua meza 2M barabara hio hio inayoanzia uchochoro wa congo mpaka Big Bon! Eneo la kuuzia visendo vya akina dada vile nikasema dah kweli Kariakoo πŸ˜…
 
Hahahhahaha machinga wasibugudhiwe
 
Wenzetu walizingatia mazingira ya miji ila pia walizingatia na mazingira ya vipato vya hao wananchi!

Machinga wengi ni graduates kwa sasa, unapomfurumusha eneo analopatia chochote kitu na kumuajiri huwezi unategemea familia yake ya mama na katoto kake pekee wakale wapi?

Wenzetu wanaweka mazingira ila bongo mazingira ni kutupwa Vikindu huko! Ukiangalia wanunuzi wenye access na kariakoo hawawezi kufuata vitu vikindu huko eti kisa bei ya nafuu!
 

Utakuwa na frustration za maisha wewe si bure.Yani unakaa nyuma ya key board povu linakutoka si ajabu hadi mijasho kwapani kwa hasira kufokea mtu usiyemfahamu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wenzako gani we boya????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…