Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
Jiji safi lina faida gani ikiwa watu ni masikini hawawezi kuendesha maisha? Hahaa eti jiji safi.Jini ni safi ila tuzingatie kuwa huu usafi utaendelea mpaka kwenye level ya familia yani mke na mume! Nyumba nyingi zitavunjika kipindi hiki sababu ya kutetereka kwa kipato cha baba ambaye alikuwa anafanyia biashara zake barabarani!
Hangaya ni mpumbavu kabisa.