Yaani kwa haraka inaonyesha jinsi gani wamachinga walivyochafua jiji, usafi ufanyike jiji liwe safi na barabara zibaki nyeupe sasa Makala kweli wewe ni kiongozi tunakushukuru kwa hili.
 
Yaani kwa haraka inaonyesha jinsi gani wamachinga walivyochafua jiji, usafi ufanyike jiji liwe safi na barabara zibaki nyeupe sasa Makala kweli wewe ni kiongozi tunakushukuru kwa hili.

Sawa kijana
 
Unakumbuka nyumba zilizobomolewa kimara ili kupisha barabara? Mbezi je? Unakumbuka nyumba ya profesa jay ilivyobomolewa?
 
Mwanzaa kazi enaendelea ya kujenga vibanda eneo la dampoo
 
Zoezi kama linaenda slow, nimepita Buguruni jamaa wapo kama kawaida
 
Mwanzaa kazi enaendelea ya kujenga vibanda eneo la dampooView attachment 1995802View attachment 1995803

Kwanini linaitwa eneo la dampo, wamewapa wamachinga eneo la kutupa takataka?

Tuelezee kidogo kuhusu hili eneo, ila naona kazi ni inaendelea vizuri kujenga vibanda.

Wafanye zaidi wajenge miundombinu rafiki kama parking, vyoo, mifumo ya maji taka, maji safi etc.
 
Habari za humu wanajamii,

Direct madani,
Baada ya songombingo la serikali ya mama samia kusafisha jiji la dar kwa kuwaondoa wamachinga waliokuwa wamejibanza kandokando ya barabara kujitafuta riziki zao kuisha, tunaona asilimia kubwa ya wana dar es salaam kusifia mandhari masafi ya muonekano mpya wa jiji hilo.

Sasa basi, kwa shauku yangu binafsi na ya watu wengine ambao hawapo dar, tunaomba wana dar mtuoneshe kwa mtindo wa picha mandhari mapya na usafi wa dar, baada ya wamachinga kutolewa.

Nawasilisha.
 
Upande tu Bus uje ujionee,
Jiji sio tu limekua safi kimuonekano hadi Marashi ya Karafuu tunayapata.

Viva Serikali, Viva Tanzania.
[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Upande tu Bus uje ujionee,
Jiji sio tu limekua safi kimuonekano hadi Marashi ya Karafuu tunayapata.

Viva Serikali, Viva Tanzania.
[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Marashi ya karafuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nataka nikija wewe ndio uwe mwenyeji wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…