balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Lawama zote kwa John
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meku umefurahi mwenyeweWameongezewa siku 12 hadi 30/10/2021
Bado hawajaondoka...Mkuu sisi tupo hapa maeneo ya Ilala Boma...bango tunaliona ila pa kuenda hatujajua
Wanadhani magu amelala ataamkaMwanza wamegoma,bado barabara zimezibwa na wamachinga
Bado hawajaondoka...Huku DIT wapo busy wanabomoa wenyewe, huruma lkn wateja tulishawazoea 🤔
Bado hawajaondoka...Karume pia watoke, waende Machinga Complex...
Bado hawajaondoka...Mbagala Zakhiem imekua safi asubuhi ya leo njia ya kwnda Mbagala Kuu ilikuwa haipitiki kwa gari
Tofautisha karume soko na karume wanaopanga barabaranKarume pia watoke, waende Machinga Complex...
Kwani haukumsikia mwendazake aliposema hata mkitaka kajengeni ikulu! Hii nchi ni yenu.Hawa wakiachiwa uhuru bila kuwadhibiti wanaweza kujenga mabanda yao machafu hadi ndani ya ikulu na wakaona poa tu. Katika vitu ambavyo sikuvipenda wakati wa serikali ya wamu ya tano mojawapo ni hawa wamachinga kujenga hovyo vibanda na kuchafua taswira za miji na majiji yetu mfano Dar na Mwanza. Majiji yaligeuka kuwa na muonekano wa mazombie kisa wanyonge.
Picha za Nini peleka umbea wako huko fbWewe Umesikia tu, sie tunataka picha tuthibitishe.
Kwa hiyo ni Bora kuwa na Meza ya Chakula ya Kioo halafu mnachokula Ugali wa Mtama na Matembele?Hili la Wamachinga lisiangaliwe kwa upande mmoja wa shilingi, ukigeuza mwingine ni kuna MaDon kwa makusudi mazima ya kukwepa kodi wanaleta vijana kutoka vijijini wanawapa bidhaa waingie nazo mitaani kwa mgongo wa MACHINGA huku wao wakinufaika,
Machinga ana uwezo wa kununua hadi mzigo wa Milioni 5 huyo ni Machinga???
Bidhaa zao ni ghali kuliko za dukani, wasiopenda kutembea wanadhani wamenunua kwa rahisi kumbe kapigwa dabo na machinga,
Sipati kusema hiyo kuchafua jiji na lugha chafu,
Naipongeza sana Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mama yetu mpenzi SSH, kufanya maamuzi magumu ni jambo la kuumiza lakini litazoeleka,
Bado hawa Omba Omba wanaowatembeza watoto wadogo kwenye jua kali na wengine kuwanyima haki yao ya kusoma na kuwageuza mtaji, habari zao tunazo wanafadhiliwa na watu jioni wanapeleka hesabu.
Mbaya Zaidi 90% ya Watanzania Ni maskini...Masikini hata ndugu zake humchukia ni wakati wajue hii nchi inautaratibu
Watajua hii ni Awamu ya sita na kuacha kudekaMwanza wamegoma,bado barabara zimezibwa na wamachinga
Sio kweliMaeneo mengi bado wanaendelea kama kawaida...