Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Nna connection kibaha Karibu Pm, pia kama mtu anataka kiwanja kibaha au machimbo ile ya njia ya mpiji (Dakik 20 kutoka Magufuli terminal, karibu inbox).Habari zenu wana JF,
Natafuta shamba maeneo ya Kisarawe au Kibaha Vijijini, naomeni mwenye kujua upatikanaji wake aniunganishe na wadau.
asanteni
Ni sehemu yako mwenyewe?Njoo uchukue pwani miono kwa bei hiyo
Ni sehemu yako mwenyewe?Njoo uchukue pwani miono kwa bei hiyo
Kibaha vijinini nenda mpijiHabari zenu wana JF,
Natafuta shamba maeneo ya Kisarawe au Kibaha Vijijini, naomeni mwenye kujua upatikanaji wake aniunganishe na wadau.
asanteni
mkuu habari yako vp ulifanikiwa kupata mteja?!Nina heka 25 Kibiti, Kilometers 21 from Kibiti Mjini. Nauza kila heka 150,000/-. Hazijawahi kulimwa hivyo ni Pori.
Bado lipo Mkuumkuu habari yako vp ulifanikiwa kupata mteja?!
Vp mkuu una connection yoyote mkuranga na bei zinaendaje kwa upande huo coz naona kidogo una uzoefu mkuu!Bado lipo Mkuu
umewaza nn mkuu ila upo sahihi mjini uchelewi kuwa fursa vp tupeane connection kaka nahitaji shamba boss wangu!Angalizo: Angalieni msije mkanunua eneo la wazanzibar Bagamoyo
Nna connection kibaha Karibu Pm, pia kama mtu anataka kiwanja kibaha au machimbo ile ya njia ya mpiji (Dakik 20 kutoka Magufuli terminal, karibu inbox).
Kama huna cash na unataka kulipa kwa installment au kuvunja, kubadilishana na thamani nyinginie karibu Pm
Shukran mkuuMashamba chalinze nenda kijiji cha kibindu mashamba yapo mengi na ardhi ina rutuba. Nilifanikiwa kupata heka 20 kwa bei chee tu. Kwasasa nafanya kilimo na ufugaji.
Jinsi ya kufika kama upo Dar nenda mbezi stand ya Daladala kuna magari yanaenda Kibindu nauli ni 12,000 tu
Hahaha idea imeanza vzuri sana umekuja kuharibu hapo mwishoni[emoji2][emoji2][emoji2]Tuufanye watu 20 kila mmoja awe na milioni moja tuotee eneo ambalo tutagawana kila mtu ekari 10,tuanzishe mashamba ya kisetla nyumba inakaa katikati ya shamba, tunafuga ngombe mbuzi kilimo safi kabisa! Tunakuwa na culture zetu, kila mtu anaoa wake 3 sheria ya kwanza [emoji23][emoji23]
Hivi mkuu unapafahamu Kijiji kinaitwa mazizi?Mimi nina connection ya kibindu nimetoka kule last week bei bado sio kubwa sana, shamba pori unaweza pata 80,000-100,000 kwa heka. Ila shamba clean unaweza pata 150,000-200,000 kwa heka. Angalizo uwe makini usije uziwa mashamba yetu.