Tupeane machimbo kunapouzwa kitimoto. Pia tubasilishane ujuzi wa mapishi

Pale karibu na msikiti wa kwa mtoro kuna kitimoto choma safi sana,mashehe wanaendaga sana kupata kitimoto
 
Huko Kilimanjaro kuna ugonjwa unawamaliza nguruwe. Kuna habari huko vijijini sasa hivi afu3 unapata kilo ya kitimoto imejaa na nyongeza.
 
Wenye ujuzi namna ya kumtengeneza walete pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…