Tupeane mbinu za kuweza kujidhibiti na uraibu wa soda

Tupeane mbinu za kuweza kujidhibiti na uraibu wa soda

1)Akikisha chakula chako kikuu kiwe ugali,hapo soda kwisha habari yake. ugali ni adui namba moja wa kinywaji cha soda
2) asilimia 80% ya kiu au hamu ya soda tunayo pata siyo ya kweli ...kama ukipata kiu au hamu ya soda basi kabla ya kunywa soda kunywa maji kwanza kisha ukiona hamu ya soda bado ipo ndipo nunua soda unywe ....very simple and perfect method [emoji108] it work 100%
kweli mimi imenisaidia sana hii method,
Na maji yakiwa ya baridi,yanaua kabisa hamu ya soda
 
Nlikua mgonjwa wa kupenda soda ila nikiweza jidhibiti Kila nilipotamani soda nilikunywa maji namshukuru Mungu sahz nmeacha kabisa soda. Na hii ni baada ya kuwa na uzito mkubwa nikaogopa kuumwa
 
HFCS sukari bandia kazini plus sodium benzoate haponi mtu hasa wale wateja was kila siku.
 
Tujaribu kuhamia kwenye maji safi na salama yaliyoongezwa kipande cha limao 🍋 na chumvi ya mawe kodogo tu
 
Na mbadala wake iwe nini, guys sinywi bia, nakunywa wine mara moja sana, sinywi spirits au very rare. Sinywi juice za mo wala azam. Niambie niwe nakunywa nini!
Na mbadala wake iwe nini, guys sinywi bia, nakunywa wine mara moja sana, sinywi spirits au very rare. Sinywi juice za mo wala azam. Niambie niwe nakunywa nini!
1673675544340.png

Tujaribu kuhamia kwenye maji safi na salama yaliyoongezwa kipande cha limao 🍋 na chumvi ya mawe kodogo tu
 
Kunywa maji ya baridi sana kila mara unapopata hamu ya soda,fanya hivo kila siku baada ya mwezi mmoja njoo ulete mrejesho.
Akifuata huu ushauri kila siku atakuja kukuambia Koo linamuuma.
 
Watu wengi sana wanapambana na uraibu wa sigara, pombe na madawa ya kulevya. Lakini wakishaushinda uraibu huo hujikuta wameangukia kwenye uraibu mwingine hatari lakini usio ongelewa. Uraibu huo sio mwingine ila unywaji wa soda, hasa mazingira yenye joto kama mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Tanga , Lindi na Mtwara

Soda hasa za Pepsi na Coca Cola (baridiiiiii) hushuka vizuri sana kipindi cha joto kali. Ubaridi, usukari na ladha ya kupurudisha huleta msisimko fulani amazing mwilini. Msisimko huu ukikunogea unakufanya uwe teja wa soda.

Wengi walioacha kunywa pombe hujikuta wanaangukia kwenye urahibu huu na kuwa mateja kabisa.

Tupeane mbinu mbalimbali za kuushinda urahibu wa soda, maana rafiki yangu baada ya kuacha pombe sasa kwa siku ni lazima agonge Pepsi baridi tatu, anasema yeye bila Pepsi siku haijaisha.

pespsi na coca zinaleta ugonjwa wa kisukari
 
mwenye kutaka kunywa soda anywe hospital wameajiria madokta hawana kazi kunyweni mpate kisukari mkatibiwe
 
Back
Top Bottom