Tupeane mbinu za kuweza kujidhibiti na uraibu wa soda

kweli mimi imenisaidia sana hii method,
Na maji yakiwa ya baridi,yanaua kabisa hamu ya soda
 
Nlikua mgonjwa wa kupenda soda ila nikiweza jidhibiti Kila nilipotamani soda nilikunywa maji namshukuru Mungu sahz nmeacha kabisa soda. Na hii ni baada ya kuwa na uzito mkubwa nikaogopa kuumwa
 
HFCS sukari bandia kazini plus sodium benzoate haponi mtu hasa wale wateja was kila siku.
 
Tujaribu kuhamia kwenye maji safi na salama yaliyoongezwa kipande cha limao 🍋 na chumvi ya mawe kodogo tu
 
Na mbadala wake iwe nini, guys sinywi bia, nakunywa wine mara moja sana, sinywi spirits au very rare. Sinywi juice za mo wala azam. Niambie niwe nakunywa nini!

Kunywa maji ya baridi sana kila mara unapopata hamu ya soda,fanya hivo kila siku baada ya mwezi mmoja njoo ulete mrejesho.
Akifuata huu ushauri kila siku atakuja kukuambia Koo linamuuma.
 
pespsi na coca zinaleta ugonjwa wa kisukari
 
mwenye kutaka kunywa soda anywe hospital wameajiria madokta hawana kazi kunyweni mpate kisukari mkatibiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…