Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Serikali kuongeza ajira za polisi na vyombo vingne vya ulinzi na usalama ko kaeni mkao wa kula vijan taarif imetolew na katibu Mkuu wa wizara ya mambo ya ndani akiwa kilele pori moshi akifunga course ya koplo
 
Dah nilisha anza kupiga tizi la kukimbia. Nilikua nazunguuka kiwanja Cha mpra mara 12 Kila cku pamoja na vi push up vya hapa na pale Ndo nikaanza kuona iyo shida
Kumbe na mazoezi mepesi mnaanza kujiandaa na kozi😐😐
 
Back
Top Bottom