Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Sherehe zikiwa zinaendelea ccp moshi uko leo……mmeuona uwanja uo wakuu, litakufa jitu🔥🔥
 

Attachments

  • IMG_9996.jpeg
    IMG_9996.jpeg
    355.2 KB · Views: 13
  • IMG_9997.jpeg
    IMG_9997.jpeg
    460.3 KB · Views: 12
Sio Fundi manyumba tu wapo wengi humu hawaonekani, hata alieanzisha huu uzi sijawahi kumuona tena humu…nafikir ni kwasababu watu walipigwa ndoige kweny mchujo wakati wa usaili, asikwambie mtu mkuu hii kitu ya kupigwa ndoige kweny usaili inakatisha sana tamaa na matumain Cliff7
Ishu ni kukaza tu usikate tamaa! Ikitokea umekosa nafasi kipindi hiki unatakiwa kwenda kujipanga na wakati ujao unaanza maandalizi mapema kabla hawajatangaza zikisha tangazwa tu mambo yanaanza kuwa mengi
 
Eti wadau kwa mnavyoona hiz nafasi zilivyofululiza mwakani kweli kunauwezekano wa kuita watu kweli? Au ndio tusubiri after 2 years?
 
Eti wadau kwa mnavyoona hiz nafasi zilivyofululiza mwakani kweli kunauwezekano wa kuita watu kweli? Au ndio tusubiri after 2 years?
Sina uhakika sana ila nafkr hii itakua ikitoka ndo imetoka hivyo mkuu….watu wanatafuta kura kwanza baada ya uchaguzi kuisha hela kutakua hamna kwahyo sahau kuhusu ajira
 
Back
Top Bottom