Am not sure mkuuu .....kuwa na tumaini tu mambo mazuri Yako njiani mkuuuSo Kesho tutegemee PDF kuachiliwa Mkuu..?? 🥺🥴
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am not sure mkuuu .....kuwa na tumaini tu mambo mazuri Yako njiani mkuuuSo Kesho tutegemee PDF kuachiliwa Mkuu..?? 🥺🥴
Nafasi ni 3000 lakina kuna za ziada 2000 za mjomba kanituma, ccp mpk mwezi ujao mjiandae vijanaHivi idadi kamili ya wanao hitajika ni 3,000 or 5,000..?
Pdf pdf ndy tunachosubir yn pdf😴😴Nafasi ni 3000 lakina kuna za ziada 2000 za mjomba kanituma, ccp mpk mwezi ujao mjiandae vijana
Yani nafasi 3000, afu baba kanisend 2000! So baba kanisend zinafanana kbisa na nafasi za kugombaniana?Nafasi ni 3000 lakina kuna za ziada 2000 za mjomba kanituma, ccp mpk mwezi ujao mjiandae vijana
Sherehe zikiwa zinaendelea ccp moshi uko leo……mmeuona uwanja uo wakuu, litakufa jitu🔥🔥
Sawa mkuuUWANJA WA DAMU... UKIWA KURUTA LAZIMA UWANJA UUHESHIMU SANA... UNA SHERIA ZAKE ZA KUTOSHA
📌📌Nafasi ni 3000 lakina kuna za ziada 2000 za mjomba kanituma, ccp mpk mwezi ujao mjiandae vijana
Yani nafasi 3000, afu baba kanisend 2000! So baba kanisend zinafanana kbisa na nafasi za kugombaniana?
Jamn nafas za 😅 baba kanisend (2000) + kugombania (3,000) =5,000 au kugombania 3,000-kanisend( 2000) =1000😅“Baba kanisend”😅
Sio Fundi manyumba tu wapo wengi humu hawaonekani, hata alieanzisha huu uzi sijawahi kumuona tena humu…nafikir ni kwasababu watu walipigwa ndoige kweny mchujo wakati wa usaili, asikwambie mtu mkuu hii kitu ya kupigwa ndoige kweny usaili inakatisha sana tamaa na matumain Cliff7Fundi manyumba kapotelea wapi jmn
Acha inyeshe tuone panapovuja mkuuJamn nafas za 😅 baba kanisend (2000) + kugombania (3,000) =5,000 au kugombania 3,000-kanisend( 2000) =1000😅
Apa mungu kwanza mengine hayabihusu 💪
Ishu ni kukaza tu usikate tamaa! Ikitokea umekosa nafasi kipindi hiki unatakiwa kwenda kujipanga na wakati ujao unaanza maandalizi mapema kabla hawajatangaza zikisha tangazwa tu mambo yanaanza kuwa mengiSio Fundi manyumba tu wapo wengi humu hawaonekani, hata alieanzisha huu uzi sijawahi kumuona tena humu…nafikir ni kwasababu watu walipigwa ndoige kweny mchujo wakati wa usaili, asikwambie mtu mkuu hii kitu ya kupigwa ndoige kweny usaili inakatisha sana tamaa na matumain Cliff7
Ngoja tuone mpk mwisho huwez jua mpk majina yatoke!Jamn nafas za 😅 baba kanisend (2000) + kugombania (3,000) =5,000 au kugombania 3,000-kanisend( 2000) =1000😅
Apa mungu kwanza mengine hayabihusu 💪
Sina uhakika sana ila nafkr hii itakua ikitoka ndo imetoka hivyo mkuu….watu wanatafuta kura kwanza baada ya uchaguzi kuisha hela kutakua hamna kwahyo sahau kuhusu ajiraEti wadau kwa mnavyoona hiz nafasi zilivyofululiza mwakani kweli kunauwezekano wa kuita watu kweli? Au ndio tusubiri after 2 years?
Hapo mpaka 2027Eti wadau kwa mnavyoona hiz nafasi zilivyofululiza mwakani kweli kunauwezekano wa kuita watu kweli? Au ndio tusubiri after 2 years?
Yamungu mengiHapo mpaka 2027
Sina uhakika sana ila nafkr hii itakua ikitoka ndo imetoka hivyo mkuu….watu wanatafuta kura kwanza baada ya uchaguzi kuisha hela kutakua hamna kwahyo sahau kuhusu ajira