Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Passing-Out-2024-Bunner-2.jpg
 
Hongera Sana kwake Dogo kwa kumaliza....Mungu amtangulie katika Utumishi wake,,,Sema mie Siko Moshi wakati huu Sitaweza kuattend...nna marafiki wawili pia wanamaliza
Thanks mkuu Kwa niaba ...pongezi nyingi Kwa wadau wengine hao kumaliza Salama ohooo hakuna shida juu ya hilo Nita wakilisha wanaaa!!!!
 
Back
Top Bottom