Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

huyo muhuni ni habar nyingine kabisa wanafunz wa ndanda boys(ndanda jkt ) wamekuwa wapole kama wamemwagiwa maji ya baridi. miongon mwa event kubw aliyofanya ni kumfukuza mwanafunz ambaye alibakiza mitihan mi3 (PCM) kwa ajili ya wizi.
Mongate ni balaa sana huyo jamaa
 
mwal Machango huyu alikuwa mwal wa hesabu kuanzia darasa la tano shule ya msingi mukendo musoma miaka ya 1996 na kuendelea

alikuwa na utaratibu wa chemsha bongo kabla ya kuanza kufundisha kwa kuuliza table kama ukishindwa unaadhibiwa kwa rula ya mbao na kupinga nyuma ya vidole vya mkono

kwa kweli alinifanya nisihudhurie vipindi vya asubuh kwa kukwepa adhabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu tpaul

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwalimu Mwangoka, baba Kadoda, Masato, Mwaipaja wa mkwawa complex and casino iringa, sitawasahau hawa viumbe
Mhhh! Ngoksi umemuonea bhana. Masatu, Ngoksi na Mwaipaja walikuwa na mikwara tu ila hawakuwa wanoko kihivyo! Walimu wanoko walikuwa Mgimwa, Baba Kadoda (RIP) na Masebo.
 
Haaahaaa...

Kukamatia mademu kwenye ngaziii

Hawa malecturer chaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona malecturer wanoko ujue walianzia kufundisha primary, hivyo wamekuwa na tabia zao za kiualimu hadi Chuo Kikuu...walimu wa type ya Dr Burner wa UDSM. Wewe unamuonaje yule baba? Undefinable!
 
kuna hiikitu iliitwa lobilo a.k.a kichaka a.k.a uncle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…